Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,790
Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!
Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!