waltham
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,522
- 1,045
Kwa kukimbia Kenya ni namba moja Duniani hilo halina ubishi lkn hata hizo mbiyo za watu wa Rift Valley ni white mans project!
Mzungu ndiye aliyegundua kwanza uwezo mkubwa wa watu wa Rift Valley na kuundeleza na leo hii wanaendeleza tu kile Mzungu alichoanzisha hivyo ni fair kusema bila Mzungu hao wakimbiaji wasingefika popote!
huwa sina wakati wa
verbal diarrhea, the kind of you! Let give you more food for thought!!
EnglishPoint Marina, mombasa,if at all you know whats a marina. tutarudi rio baadaye!!!
langata southern bypass interchange
whatever I had to give you this!!
jameni nikumbushe tupo kenya au tanzania!!! nikome hapo kwa sasa!! narudi