Sexual tensions.....Kuishinda.....

Simple The Boss hamisha tu hizo tension kutoka kwa target A (panaposhindikanika kutii kiu yako) to target B (panapowezekanika)

Suppose tension yako ipo kwa shemeji/boss/classmate(ambae ndio target A) sasa hamishia kwa wife/gf (ambae ni target B)
Lakini yule unayehamishia sex tension kwake, hutampenda kama yule unayetaka ukate kiu naye,,, I mean matamanio yanamhusu mtu specific siyo wote. Watu hutofautiana kwa umbo, tabia, hulka nk. HIsia kuelekea sex ndicho kinacho matter hapa.
 

Kuepuka kukutana sina hakika sana na hilo labda kuepuka kuwa karibu na mtu wa sampuli hiyo.......hasa pale unapoona dalili.
 
Nadhani kuiondoa inabidi ukubali moyoni mwako kua haiwezekani kuitekeleza no matter what. Pia si vizuri kuijadili na wa upande wa pili kwa sababu badala ya kutatua tatizo waweza ongeza tatizo na wakati mwingine huyo unaetaka akusaidie kuishinda aweza sababisha mkashindwa kabisa kulifikia lengo ie akakuangusha au kuleta ugomvi mkubwa na kuzusha yasiyokuwepo.
 

Mnaongea with an open mind. Kila mmoja lazima afahamu mipaka yake ya kibinaadam.
 
Kuepuka kukutana sina hakika sana na hilo labda kuepuka kuwa karibu na mtu wa sampuli hiyo.......hasa pale unapoona dalili.

eti sampuli hiyo lol
hata wewe unaweza jikuta katika hiyo situation
msome Neylu .........
 
Last edited by a moderator:
Eeeh Mungu niepushie hayo makitu sijui ya tension maana mhhhh!!
 
Bila shaka huu ni mfano, nimesoma mara mbili nikawaza hii ikikupata wewe na ulivyo na macho ya huruma si ni balaa!!
 
"Ikimbieni Zinaa"
Mi nafikiri njia sahihi ya kushinda hili jaribu Ovu ni kulikataa na kuyaepuka mazingira rafiki ya jaribu hili.
Bcoz unaweza share kwa huyo uliye na tension nae ukiwa na hope kwamba mtaweza pata suluhu sahihi (not to gv in) bt the unlike poles attraction btn two different sex..is of gret magnitude not easily overcomed unless U RUN.
 
The Boss unataka kusema ukimtamani house girl wako na yeye akakutamani ni lazima ulale naye.... jibu unalo?
Kwa miaka ya leo ni ngumu sana aise, tukutane wote kila mtu ana moto na mwenzie halafu tusifanye sijui.


Ivi inawezekana kweli mamamndenyi hata boy wako wa kwanza akakugusa tena na tena hata kama upo kwenye ndoa?
 
Sakapal kasema bora mzungumze ili iwe rahisi kuishinda
sasa ndo nimeuliza wewe ungeweza kuzungumza na mtu kama mume wa dada yako
au ndugu yake?
Hapo kwenye kuizungumza ndio mnaichochea kabisa na mnakuweka mmejifunua kitakochofuata ni historia.Suluhisho ni kukwepana tu hakuna namna hila ni ngumu sometimes unashangaa mmoja anampigia Simu au kumtext mwenzake nakumwambia ukweli apo ndio kuduwaa na kushangaa.Mfano binti kumchukulia mtu kama kaka au ndugu in a long run jamaa anajifunua.Kikubwa ni kuheshimu hisia zake na kumpotezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…