Yaani Mamndenyi bana, haya bwana we endelea tu kuniumiza mtoto wa mwanamke mwenzio!
Unaweza ishinda tamaa ukafanikiwa
but ile awkward feeling fulani hivi inayojitokeza
mkionana au body language zenu zikashindwa kujificha
hii sasa unishinda vipi?
The Boss unataka kusema ukimtamani house girl wako na yeye akakutamani ni lazima ulale naye.... jibu unalo?
Kwa miaka ya leo ni ngumu sana aise, tukutane wote kila mtu ana moto na mwenzie halafu tusifanye sijui.
Now I get you
Kama ni kazini, inabidi uact kikazi zaidi
Na kupunguza kuwa karibu bila sababu za msingi
Mfano kama ni Mwalimu na mwanafunzi, ni kuepuka kukutana nje ya darasani
Haya nsio mazingira hupelekea kutokea yaliyompata miss strong
Kunakuwa na tension afu huchukui hatua
kama ni nyumbani?
wewe labda na ndugu yake mumeo?
mnaishi nyumba moja mfano...
Unataka kuleta laana? Mume wa dada yako?
Vingine ni kuvipotezea tu na kutovipa kipaumbele
Mwishowe unasahau
Sakapal kasema bora mzungumze ili iwe rahisi kuishinda
sasa ndo nimeuliza wewe ungeweza kuzungumza na mtu kama mume wa dada yako
au ndugu yake?
haijawahi kunitokea labda kwa vile mie mwanamke na pia sijui utaishinda vipi The Boss
what if wewe umeishinda mwenzio anashindwa?
Labda iwe nilishaharibu naye halafu kaoa mtu ninaye muheshimu sana ndipo naweza jikuta kwenye awkward situation in case tumejikuta wawili tu. Lkn mtu ambaye nina crush naye, a joke or two inafanya environment kuwa okay.