Well sasa hivi ni starehe kama wengine...ila tusingekua tunaifurahia nadhani wangekosa sababu..sasa sijui ingekuaje kwa upande wao!!
Mi sibishi bana...nafikiria tu mbali kuhusu watu kuhusu huu utashi tuliopewa...kama ungepungua kidogo hata baadhi maasi yangepungua hapa duniani....sidhani ka tungesikia jimama limebaka kijana au mzee mzima kabaka kasichana kwasababu wasingekua na hamu ya kufanya hivyo!!Hehehehh hiyo offer yako kiboko....asante ila yupo aaminiwae!Ndio tofauti kati ya mnyama na binadamu!! Mbwa, au Ng'ombe kwa mfano hawafanyi hiyo kitu bila kuwa kwenye tarehe zitakazoruhusu Mimba kutungwa. Ndio mwisho wao wa kufikiri huo. Lakini kutokana na uwezo mkubwa alopewa binadamu wa kutawala mazingira na vyote vilivyomo ndio maana tumegundua kwamba haya Majitu tulowekewa yanaweza kutupa burudani ya pekee na ndivyo ilivyo. Au unabisha? Wewe hujagundua hilo? Kama hujapata wa kukuthibitishia hilo kwa matendo.... nitafute.
Hiyo dhana nzima ya kuwa sex ni kwa ajili ya kuzaliana tu sikubaliani nayo na wala haijawahi kunipitikia kichwani mwangu.
Sex ni staarehe kuzaliana ni matokeo tu
Gaijin study nyingi za watalaam kuhusu wanyama class mamalia specifacally zinaonyesha objective kubwa ya sex ni kuzaa. Na wayama wengi wa "kike " wana kuwa sex active zaidi na hata "attractive" kipindi wanapokuwa pregnacy ready mode.
Hope umenipata kizungu changu cha kanumbas
..philosophers, scientists and great innovators have always been very creative "to reach God's capacity", which will never happen
HahahahahaaaaaaaNdio tofauti kati ya mnyama na binadamu!! Mbwa, au Ng'ombe kwa mfano hawafanyi hiyo kitu bila kuwa kwenye tarehe zitakazoruhusu Mimba kutungwa. Ndio mwisho wao wa kufikiri huo. Lakini kutokana na uwezo mkubwa alopewa binadamu wa kutawala mazingira na vyote vilivyomo ndio maana tumegundua kwamba haya Majitu tulowekewa yanaweza kutupa burudani ya pekee na ndivyo ilivyo. Au unabisha? Wewe hujagundua hilo? Kama hujapata wa kukuthibitishia hilo kwa matendo.... nitafute.
Well kama watu wasingekua wanafanya kwaajili ya starehe kusinfekua na kutoa kwasababu tangu mwanzo wanajua wao kujumuika pamoja ni kwa lengo moja na lengo moja tu...kuzaliana!Hivyo mimba ndio wanayoitafuta na kuitegemea!!na kutoa mimba kwa msichana ni kawaida kwasababu inakuwa ni baati mbaya inakuwa sio matarajio yake au sababu maalum zmempelekea kutoa,mbona ata wanandoa wanatoa mimba.
Are we talking about "sexual feeling" or "sexual healing" here? or is it sex as a reproduction tool? or sex as leisure? or is it sex as business? oooh oh, may be sex as being sexy? mnhhh or animal sex? or just simply being sexy? or fetish sex? mnh mnh, may be maniacal sex? or is it as in kamasutra? aaah, aaah, may be as in perfumed garden? is it missionary or dogy sex?
Couldn't figure it out! Help, sexual explanation needed.
hahahahahaaaaaaaaaha lolz.
Swali zuri kweli.I think yeahh...POSSIBLY!!Inawezekana kabisa alijua bila kutuwekea starehe ndani yake wengi wangekwepa kufanya tendo = kukwepa moja ya jukumu tulilo nalo hapa duniani!!Jee staarehe kwenye sex ni njia ya kuturubuni kuzaliana?
mucho graciasNataka kujibu ila baada ya kupitia mawazo ya MTM nahariri mawazo upya na kugundua mtazamo wangu umekaa kishabiki zaidi ya reality...nami nasimamia hapa
asiee.......... kadogo kapi? wewe au.............?Mi bado kadogo...remember!!
Pale ulikuwa ni mtazamo binafsi wa Gaijin.
Ila tukija kwenye mtazamo wa nadharia yenyewe, ninadhani kuwa staarehe kwenye sex inaweza kuwa njia moja ya Mungu kuturubuni ili tuendelee kuzaliana.
If it was boring, probability ya watu kuingia kwenye sex ingepungua na naamini probability ya kuzaliana nayo ingeshuka.
So staarehe ipo pale kuongeza chances za kufanya sex ili watu wazaliane
Hahaha gaijin that thing can never be boring. Ukiondoa asalik itu kingine natural kitamu duniani ni hicho.Kama kikitolewa nakuombwa muda muafaka.
Sasa tatizo ukija kwetu binadamu ndio sex tumeongeza na vikolomwezo vingine vya "artificial"kama kama fedha.
Kwa wanyama wengine "She" ndo muamuzi when to mate na hata wao ndio wanatoa signal kuwa am ready. Lakini kwetu biadamu ni mkanganyiko sometime ni wanaume ndo tunahaingika kusaka sometime ni wakawake.....