Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
Lizzy umenifanya nitulize akili yangu na kutafakali kwa kina sana!Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a product of a historic accident or product from creator. Carl Zimmer: Sex is not only unnecessary, but it ought to be a recipe for evolutionary disaster. For one thing, it is an inefficient way to reproduce.... And sex carries other costs as well.... By all rights, any group of animals that evolves sexual reproduction should be promptly outcompeted by nonsexual ones. And yet sex reigns... Why is sex a success, despite all its disadvantages ?Sex is-WAS not supposed to be fun thing to do ! Female orgasm is useless in evolution ila male orgasm ni muhimu ili waweze kupenyesha mbegu na kuchavusha yai la kike.Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
Ndio tofauti kati ya mnyama na binadamu!! Mbwa, au Ng'ombe kwa mfano hawafanyi hiyo kitu bila kuwa kwenye tarehe zitakazoruhusu Mimba kutungwa. Ndio mwisho wao wa kufikiri huo. Lakini kutokana na uwezo mkubwa alopewa binadamu wa kutawala mazingira na vyote vilivyomo ndio maana tumegundua kwamba haya Majitu tulowekewa yanaweza kutupa burudani ya pekee na ndivyo ilivyo. Au unabisha? Wewe hujagundua hilo? Kama hujapata wa kukuthibitishia hilo kwa matendo.... nitafute.
Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a product of a historic accident or product from creator. Carl Zimmer: "Sex is not only unnecessary, but it ought to be a recipe for evolutionary disaster. For one thing, it is an inefficient way to reproduce.... And sex carries other costs as well.... By all rights, any group of animals that evolves sexual reproduction should be promptly outcompeted by nonsexual ones. And yet sex reigns... Why is sex a success, despite all its disadvantages ?"
Sex is-WAS not supposed to be fun thing to do ! Female orgasm is useless in evolution ila male orgasm ni muhimu ili waweze kupenyesha mbegu na kuchavusha yai la kike.
Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
interesting indeed,Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a product of a historic accident or product from creator. Carl Zimmer: "Sex is not only unnecessary, but it ought to be a recipe for evolutionary disaster. For one thing, it is an inefficient way to reproduce.... And sex carries other costs as well.... By all rights, any group of animals that evolves sexual reproduction should be promptly outcompeted by nonsexual ones. And yet sex reigns... Why is sex a success, despite all its disadvantages ?"
Sex is-WAS not supposed to be fun thing to do ! Female orgasm is useless in evolution ila male orgasm ni muhimu ili waweze kupenyesha mbegu na kuchavusha yai la kike.
Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
Pal.... sex is sex, as good as it gets, it leaves desire for more and questions without answersnakubaliana na hoja hii pia.....binadamu tumetofautishwa na wanyama kwa kupewa utashi (intellectual ability) na hii inajumuisha pia dhana ya kuchukulia tendo la ngono kama zaidi tu ya kitendo cha kusababisha uzao...ni mojawapo ya starehe alizotupa Muumba kwa wale wanaostahili,