Sex Partner

Sex Partner

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
15,905
Reaction score
15,675
Habari za jioni wana JF,
Napenda kutoa pole kwa mihangaiko ya siku nzima kwa wana JF wote.
Najitokeza hapa kwa lengo la kupata Sex partner ama waweza ita friends with benefits.
Sifa kuu asiwe mtu wa kugandana yani kila mtu afanye shughuli zake mpaka pale tutakapo hitajiana.
Pili awe mtu mwenye kazi inayomuingizia kipato ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima.
Tatu awe chini ya miaka therathini.
Mwenye hitaji hilo kama langu tafadhali naomba ani PM for mobile phone contact

Cheers
 
Mkuu jinsia yako..
 
Pale corner bar wapo wengi mida ya kuanzia saa 12 jioni, kwanini maadili yamepungua sana hii nchi? Kuna laana gani imeingia hapa?
 
Jinsia yangu ni mwanaume. Ni PM kwa ajili ya wale wanaotaka picha.
Corner bar kuna wanadada wanaojiuza, mim sitaki wa aina hiyo.
 
Jinsia yangu ni mwanaume. Ni PM kwa ajili ya wale wanaotaka picha.
Corner bar kuna wanadada wanaojiuza, mim sitaki wa aina hiyo.

Kama hutaki wajiuzao, mbona wewe wajiuza mkuu kwa kujiweka jukwaani hapa kama bidhaa?
 
Mwaka huu watu weng wameamua kuuanza vibaya kwa kutoa kipaumbele ktk tamaa za mwili...ngoja niendelee kuomba rehema za Mungu
 
Mwaka huu watu weng wameamua kuuanza vibaya kwa kutoa kipaumbele ktk tamaa za mwili...ngoja niendelee kuomba rehema za Mungu

Heri yako umechagua fungu jema. Na Mungu asikie maombi yako!
 
Diih km dunia ya kwnz vile maisha yako kasi sn mpk uyakute ni baadae labda vijana tunataka friends wit' benifit haahaaa asante Mungu naona haya mambo sio hadithi ila sio kesi utawapata maana relationship sucks smtyms ila ukishepewa papuchi ucje mletea wivu na ukamganda tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom