MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,592
Heshima kwenu brother and sisters
Demu amegoma kutoa papuchi, jamaa ameamua kuvunja uchumba.. Kisa anadai mdada hakuwa Bikra na ameshakuwa na relationship zaidi ya 5 zinazojulikana na zote amemegwa vya kutosha.. Baadae akaamua kutulia baada ya kukutana na jamaa sasa baada ya stage zote kufatwa za kutaka kufanya maisha pamoja jamaa ametaka kucheki mzigo ukoje kabla hajaweka ndani, binti anadai Biblia hairuhusu...
Jamaa ndio katufata washkaji zake tumpe ushauri maana yeye akili yake imeshamtuma kuvunja uchumba...
Mimi nimeshindwa nimshauri nini maana kwa upande wangu sijawai kukutana na kisanga kama hiki maana mimi mbuzi wangu ninauziwaga huku namuona kama mnene au mwembamba kwa macho yangu.. So nimeshindwa cha kushauri..
Labda wadau mtushauri hasa wadada hii inakuaje, huyu mdada yupo real kwa upako au ndo anataka kumuuzia jamaa mbuzi kwenye gunia..
Smile, @Lara1 amu, na wengineo wote nikiwataja hapa hakutaisha, je hii kitu ni real au mdada anafanya maigizo,, tuokoe uchumba huu jamani hili nikale pilau baada ya kula langu

Last edited by a moderator: