Sex before Marriage principal, hii inakuaje

Sex before Marriage principal, hii inakuaje

Acha hizo, Lazima kabla ya kuoana u-test terminal kama zinatoa cheche. Huo mpango wa kusubiri siku ya ndoa ulikuwa wa kizamani.

kwanza wewe hujatupa feedback umefikia wapi????
ujue watu walitumia mda wao kukushauriii
 
ha ha MKATA KIU kiukweli huyo dada ni boooooooooooonge la pretender hapo nakwambia kuna mtu anammega yeye mshikaji wako anaektiwa kwani akimpa kuna ubaya gani?
ataondoka nayo?
ataimaliza??afterall jamaa kamzimia mpaka amechumbia mi naona avunje tu uchumba.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mume hapo..Huyo bado ana akili za kitoto..Kakataliwa uzinifu anataka kuvunja uchumba..je yakimkuta makubwa kwenye ndoa ataweza kweli!?Tena amuache dada wa watu asije msumbua baada.
hujambooo kuweni realistic jamani ohooooooooooooo mambo ya hadithi muache na kuishi kama tupo zama za mtume suleiman muacheeeeeeeeeeeeeee khaaa mjamaa kamvumilia mpaka kachumbia anataka kuiona ikoje anamzuia.
Kha kama imepinda atajuaje?
muoneeni huruma kijana wa watu mbona hao wengine aliwapaaaa bwanaaa na usikute walimgegeda bureeee MKATA KIU mshikaji avunje
 
Last edited by a moderator:
duh,

huyo dada kwa upande wake yuko sawa pia jamaa naye yuko sawa...
Bint anogopa kumegwa na kutelekezwa,,,, jamaa nae anaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
So kamavipi demu aachie tu mshikaji apumzike..
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mwenzie kaamua kubadilika yeye anataka kumrudisha dhambini.Wakati anasahau yeye kampenda baada ya mabadiliko na kutulia

Only time can tell that...though you have a point! I know ladies waliokuwa wanajivika magauni marefu mchana na kujifanya wacha Mungu sana kisa mchumba halafu akirudi hostel ni kulewa na kugawa papuchi.

Back to topic wote wana makosa kosa la mdada kwanini agawe K yake ovyo kabla ya ndoa? Inaweza ikawa ametujituliza tu ili aolewe na akiolewa akunjue makucha yake huyo ameisha onja fupi, nene, embamba, ndefu hivyo hawezi kuridhishwa na mmewe hata kidogo.Kosa la mkaka kama ulikuwa unataka upate mke bikira endelea kumuomba Mungu utampata kwani huyo hakufai lakini usijiingize kwenye uzinzi.Mwache huyo mdada aje aolewe na mzinzi mwenzake.

You have a point too. ungepunguza tu kumshtaki mchangiaji mwenzio. Don't you think hata huyu kijana ana matatizo?
 
Heshima kwenu brother and sisters

Demu amegoma kutoa papuchi, jamaa ameamua kuvunja uchumba.. Kisa anadai mdada hakuwa Bikra na ameshakuwa na relationship zaidi ya 5 zinazojulikana na zote amemegwa vya kutosha.. Baadae akaamua kutulia baada ya kukutana na jamaa sasa baada ya stage zote kufatwa za kutaka kufanya maisha pamoja jamaa ametaka kucheki mzigo ukoje kabla hajaweka ndani, binti anadai Biblia hairuhusu...

Jamaa ndio katufata washkaji zake tumpe ushauri maana yeye akili yake imeshamtuma kuvunja uchumba...

Mimi nimeshindwa nimshauri nini maana kwa upande wangu sijawai kukutana na kisanga kama hiki maana mimi mbuzi wangu ninauziwaga huku namuona kama mnene au mwembamba kwa macho yangu.. So nimeshindwa cha kushauri..

Labda wadau mtushauri hasa wadada hii inakuaje, huyu mdada yupo real kwa upako au ndo anataka kumuuzia jamaa mbuzi kwenye gunia..
Smile, @Lara1 amu, na wengineo wote nikiwataja hapa hakutaisha, je hii kitu ni real au mdada anafanya maigizo,, tuokoe uchumba huu jamani hili nikale pilau baada ya kula langu

Kina dada mkimzimikiaga mtu mnasikia la kuambiwa?
 
Last edited by a moderator:
Maamuzi anayo yeye mwenyewe, kama alijua background yake na nia yake ni kuoa inambidi asubiri hadi watakapooana. Kama hawezi achape lapa, sababu na yeye anataka agonge kama wenzake nakusepa.
Hapo sasa...........mtu alishajua kuwa mpenziwe aliwahi kuwa na relationships huko nyuma sasa anatafuta bikira ya wapi tena? Huyo alikuwa anatafuta sport fish na sio mke.................. Nampongeza huyo wifi maana ameweka msimamo wake tokea mwanzo.
 
Kwa mtazamo wa kidini: Sex before marriage is extremely prohibited.
Kwa mtazamo wa kidunia: Sex before marriage is extremely encouraged.
Crossroad: Kama binti ni mlokole inakuwaje anakubali kuolewa na mtu asiye mlokole mwenzake(mtu wa mataifa)?? Kwakuwa imeandikwa ''msifungiwe nira na wasioamini''.

Outlook: Hapo unafanyika usanii tu kwakuwa binti hana mapenzi ya dhati kwa mchumba na huyo mchumba nae hazimtoshi kwakuwa ametangaza uchumba sijui ndoa lakini lengo lake ni kuilamba papuchi ya huyo shosti tu na si zaidi ya hapo. Kwakuwa anatambua kuwa demu kesha gawa papuchi kwa watu zaidi ya watano sina shaka kwamba anataka kuwa wa sita!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Haha mie nishasema papuchi ni kama oxygen kwa men wa kileo they cant survive without it mwanaume mnyime chakula ataùmilia bila k atasuffocate
 
Hapo sasa...........mtu alishajua kuwa mpenziwe aliwahi kuwa na relationships huko nyuma sasa anatafuta bikira ya wapi tena? Huyo alikuwa anatafuta sport fish na sio mke.................. Nampongeza huyo wifi maana ameweka msimamo wake tokea mwanzo.

msimamo wake na aushikilie asibabaike na maplay boy tena.
 
if iy was meant to be it will be and not other wise
 
mhm...okay let me put it this way....nakubaliana na huyo dada kwa kukata kusex ka la ya ndoa na pia naelewa y jamaa anakomalia kugegeda.

kweli kugegedana kabla ya ndoa ni dhambi na huyo dada ameligundua hilo ...very gud. on the other hand lazimadada aelewekuwa jamaa has every reason to be suspicious kwa sababu mwisho wa mambo lazima tukubali vitu viwili....hapa duniani u will be judged and ur past will catch up with u. so huyu dada kugegedwa huko nyuma madhara yame ndio hayo. ......atakuwa anategemea maajabu mtu akubali tuu wakati ur record is less than prestine........yaani ni kama mie mzabzab nipate demu nitake kuoa alafu demu aseme no mie sitaki becoz wee mgegedaji iti nikasirikie....thats just crazy. itz a life style u choice the price u pay.

so kwa huyo dada she is paying the price of her previous gegedaribg lifestyle.......jamaa avunje tuu i cn understand his suspicion
 
Hapo sasa...........mtu alishajua kuwa mpenziwe aliwahi kuwa na relationships huko nyuma sasa anatafuta bikira ya wapi tena? Huyo alikuwa anatafuta sport fish na sio mke.................. Nampongeza huyo wifi maana ameweka msimamo wake tokea mwanzo.
wa kuoa atakuwa huyu basi?
 
Ni lazima ifanyike ili ijulikane mapema...kabisa kama bwawa au kibamia,sio mmeshagharamia halafu siku hiyo hiyo usiku unakuwa karaha!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom