Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Mwambie amwache imdodee alijue jiji/
ndo maana mimi sitaki kuingia kwenye relationship, kila mwanaume anayenifuata eti anataka sex kwanza, nitasex na wangapi mpaka kuingia kwenye ndoa? wanaume acheni hizo ni dhambi jaman. tukiwakubalia tena mnasema wasichana wa cku hizi vicheche, mkikataliwa tena tabu tupu Tuwaeleweje???
Heshima kwenu brother and sisters
Demu amegoma kutoa papuchi, jamaa ameamua kuvunja uchumba.. Kisa anadai mdada hakuwa Bikra na ameshakuwa na relationship zaidi ya 5 zinazojulikana na zote amemegwa vya kutosha.. Baadae akaamua kutulia baada ya kukutana na jamaa sasa baada ya stage zote kufatwa za kutaka kufanya maisha pamoja jamaa ametaka kucheki mzigo ukoje kabla hajaweka ndani, binti anadai Biblia hairuhusu...
Jamaa ndio katufata washkaji zake tumpe ushauri maana yeye akili yake imeshamtuma kuvunja uchumba...
Mimi nimeshindwa nimshauri nini maana kwa upande wangu sijawai kukutana na kisanga kama hiki maana mimi mbuzi wangu ninauziwaga huku namuona kama mnene au mwembamba kwa macho yangu.. So nimeshindwa cha kushauri..
Labda wadau mtushauri hasa wadada hii inakuaje, huyu mdada yupo real kwa upako au ndo anataka kumuuzia jamaa mbuzi kwenye gunia..
Smile, @Lara1 amu, na wengineo wote nikiwataja hapa hakutaisha, je hii kitu ni real au mdada anafanya maigizo,, tuokoe uchumba huu jamani hili nikale pilau baada ya kula langu
Haha mie nishasema papuchi ni kama oxygen kwa men wa kileo they cant survive without it mwanaume mnyime chakula ataùmilia bila k atasuffocate
Aliye bikira na aanze kumlaumu asiye bikira. Kama wote siyo mabikira hakuna haja ya kulaumiana na kushikana ubaya. Kama ameamua kuvunja uchumba kwa sababu amenyimwa, basi na asanzuke zake tu akatafute hao mabikira wa kuwaonja kwanza. Kama anajua kwamba binti amekuwa na mahusiano 5 sasa anataka kumpima ubikira wa nini? Huyo siyo muoaji, ni mwonjaji tu.
samahani Bidada, mimi ninapingana na wewe hivi nina miaka hiyo kitu siijui naiona kwenye picha tu lakini nisipopata chakula tutagombana, hivi ninavyokuambia na ujana karibu utaanza kunipa mgongo siwezi kuacha kula eti kwa hiyo kitu
Huo ni mtazamo wangu samahani kama nitakukwaza
i totaly agree with the girl ....havin sex b4 marriege it is strictly prohibited .....ni dhambi kubwaa