Set nzima ya vifaa vya chips inauzwa

Elimu nyingine Hii
 
safi sana.
 
safi sana.
kwa hiyo...hapo sijaweka juice,mishkaki,kuku,na ndizi..vyote vina faida......hasa juice ndo unatumia 25k mtaji unatoa 60k hapo faida unaona ni 35k..na hapo ni juice nimeuza 1000...je ukiuza 2000 au 1500 faida ni kubwa.....au ukiamua utengeneze nzito zaidi ni wewe tu...ki msingi biashara hii ukiwa na mtaji inalipa sana.....

mimi nimefunga kwa muda...nikoshaweka mambo yangu sawa..nitarudi tena hata kama itapita mwaka..ila nitarudi
 
Juice Dispenser 1.5M? Hiiii mbona mpya? Tena used?
mkuu hii 1.5 M mitungi mitatu ikiwa mpya na box lake

hii yangu nishaitumia ndo maana nauza 850000 tu....hapo unavoona nje kuchoka ni sticker tu ilichakaa ikachafuka..ila ukitaka unaweka stick nyingine nyeupe unatoboa hizo sehemu za hewa mashine inakuwa mpya tu


juice dispenser za mitungi miwili ndo 1 - 1.2 M

ila sasa kibiashara mitungi mitatu ndo nzuri unaweka juice tofauti tofauti

mimi nilikuwa naweka 1..embe passion
2...strawberry
3...rosella
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…