server | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

server

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Karzjr, Nov 9, 2011.

 1. K

  Karzjr Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji kujua gharama za server na makampuni yanayo uza kwa hapa Tanzania
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu haujasema unahitaji server ya aina gani na yenye specifications gani kuna server zinafika hadi dola 10,000
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kinachofanya server kuwa server ni sofware sio hardware. Hata laptop na desktop ya kisasa inaweza kuwa server ikapiga mzigo fresh inategema ni software gani, user wangapi zinatakiwa kubebwa.
  Otherwise wasiliana na sales represntativi wa HP au google Proliant server ucheki may be

  Lakini kumbuka watu wa masoko wanaweza kuuuzia ngo'mbe kumbe wewe kwa mahitaji yako ulihitaji mbuzi. So better clear application gani unayotaka ifanye kazi kwenye hiyo server au ni hardware za kuhandle server application za aina gani hasa unataka kuwa nazo.
  • Database server
  • Application server
  • webserserver
  • Mail server
  • etc
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,222
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  maelezo yako poa sana.pia nimejifunza kitu.mtazamaji heko kwa post pana.
   
 5. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Siyo dola 10000 tu mdau,Ninayotumia mimi its more than 54,000,000tsh
   
 6. K

  Karzjr Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nijulishe kama kunauwezekano wa kupata kwa hapa Tanzania, Dataserver nijulishe kwa 0655540149
   
Loading...