BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Sasa hivi Mh Rais anatembelea wizara zote kuangalia jinsi mambo yanavyokwenda katika shughuli zao. Hebu tufanye tathmini kama hii ina mantiki na itabadilisha ufanisi au Mh Raisi anatembelea kwasababu tu imetokea yuko nchini?