Wakuu,
Our beloved president does not know what he does!! JK ahjui atafanya nini kuikwamua nchi kwenye matope alimoipeleka mwenyewe, he is confused... ahan washauri, hana waisaidizi, mbaya zaidi mbishi, anaamini yeye kuwa prezidaa baso kila kitu, by default anajua na ni sahihi...
Mwisho wa siku haelelwi nini maana ya routinely and strategic oriented jobs he is supposed to touch. Ana ha ha ha aa tu!!! Nchi imekuwa bora liende. Hakuna kitu na-feel kuwa betrayed na JK kama issue ya umeme (maana to honest mwaka 2005 nilimpigia kura)!! Alituahidi mwaka 2006 kuwa matatizo ya umeme itakuwa ni historia, look at him now... Akaenda wizara ya Elimu, bila hata haya usoni, akaahidi; and I quote "tutatumia mkongo wa mawasiliano kufundishia shule za sekondari" Hizi ni baadhi tu ya sentenso za rais Kikwete ambazo zilikwisha nichefua kiasi hakuna ambalo linanivutia kwake.
I only pray that one day, one day, we, the people of United Republic of Tanzanaia iko siku tutaamka kama watu wa Tunisia, Misri, Yemen na Libya; kwenda mbele kuung'oa utawala wa makaburu, mabeberu, wakoloni weusi wa nchi hii; turudishe maana halisi ya kutawaliwa mikononi mwetu. Amini na kuambia, utawala wa CCM ni sawa na ukoloni wakti ule. Hakuna tofauti zaidi ya rangi ya wakaoloni CCM ni weusi wenzetu. God bless this great nation of URT.:focus: