Mbona mnazuia Kama haziwasumbuiKulinda mazishi ya wapi nyie kwhy mlitaka watu wauane CDM hamna lolote mnajadili fujo tu hamna la maana kelele za nzi hasimsumbui mtu kunya!
eti polisi hawatoshi kulinda bunge na mikutano.source tbccm.
kelele za nzi hasimsumbui mtu kunya!
RC anazuia mikutano kwa kutumia sheria ipi?
Wanapaka rangi upepo hao masikini!!Naona mkuu wa mkoa wa Dodoma na wajumbe wake wa kamati ya ulinzi na usalama wameamua kwa dhati kui-promote CHADEMA. Maamuzi ya kizamani kama haya yamekuwa na effect moja tu - kupanda chati kwa CHADEMA.
Usisahau kuwa yeye ndiye M/Kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa.
Habari za Jioni Mhe.Lusindekelele za nzi hasimsumbui mtu kunya!
Masaburiiiiii
viongozi wa jeshi la polisi sijui wanafikiri kwa kutumia nini.MAKALIO.fill in the blank
Kulinda mazishi ya wapi nyie kwhy mlitaka watu wauane CDM hamna lolote mnajadili fujo tu hamna la maana kelele za nzi hasimsumbui mtu kunya!
Polisi wa Tanzania bado hawana taarifa mambo aliyoyafanya Rais mpya wa Malawi ?
Kulinda mazishi ya wapi nyie kwhy mlitaka watu wauane CDM hamna lolote mnajadili fujo tu hamna la maana kelele za nzi hasimsumbui mtu kunya!