Naona mkuu wa mkoa wa Dodoma na wajumbe wake wa kamati ya ulinzi na usalama wameamua kwa dhati kui-promote CHADEMA. Maamuzi ya kizamani kama haya yamekuwa na effect moja tu - kupanda chati kwa CHADEMA.
Viongozi wa serikali hii kweli wamefilisika kiakili kwani they cannot even learn from life's simple examples that when you restrict a child to do something then they become curious as to why they are restricted and finally they do what they are restricted to do out of curiousity!! Sasa hawa magamba wanafikiri wanawafurahisha wakubwa zao kwa kuwapiga marufuku chadema wasifanye mikutano hapo Dododma kumbe ndio wanawafanya raia wapate hamasa ya kuipenda chadema kwani wanafunguka na kutaka kujua kwanini serikali inakithibiti chadema!!!