Serikari yapiga marufuku mikutano ya kisiasa Dodoma

Serikali finyu kufikiri, haijui kumpiga teke chura ni kumwongezea mwendo???????? Sioni mantiki ya maana hapa kuzuia uhuru wa kukusanyika!!!!!!
 
Naona mkuu wa mkoa wa Dodoma na wajumbe wake wa kamati ya ulinzi na usalama wameamua kwa dhati kui-promote CHADEMA. Maamuzi ya kizamani kama haya yamekuwa na effect moja tu - kupanda chati kwa CHADEMA.
Wanatengeneza Arusha nyingine
 
Kulinda mazishi ya wapi nyie kwhy mlitaka watu wauane CDM hamna lolote mnajadili fujo tu hamna la maana kelele za nzi hasimsumbui mtu kunya!

Ni kweli,kwa ignorant person ataona kinachojadiliwa ni fujo tu,ndio maana hizo fujo zinazojadiliwa zimekua zinasababisha chadema wazidi kupendwa na wasomi na wenye upeo wa kupambanua mambo na changamoto zinazolikabili Tanzania kama taifa kufikia maendeleo yake!try to avoid ignorance
 
Kwani CHADEMA walikuwa na mpango wa kuwa na mkutano mwingine hivi karibuni huko Dodoma? Kama hawana mpango wa kuwa na mkutano CHADEMA inaathirika vipi?
 
a coward is a liar. wanahaha na kuleta kila aina ya vikwazo hakuna wa kuizuia nguvu ya umma kamwe.
 
UPUMBAVU WA KARNE!
Nchi ya Nyerere inashuhudia tamko lingine la ubeberu wa karne!

Hii ni komedi, bora hata akina Masanja wanaigiza mantiki kidogo!
Eti sababu mikutano inaleta watu wengi sana Dodoma, wakati kuna vikao vya Bunge.....shiit!
Hivi Wafanyabiashara wa Dodoma wanakubaliana na uharo huo, kwahiyo unalimit watu wasiingie tena Dodoma..aisee!!
Sijawahi kusikia mkoa wowote katika Tanzania ambao unadai kuwa watu wameshajaa, na kwahiyo wasiingie tena!..hii ni kauli ya aina yake ya kwanza toka Uhuru!
Hivi ni polisi wangapi wanahitajika Bunge na Mkutano wa cdm? wanafika Mia?
Naomba mdau mmoja aweke hapa picha yoyote ya Mkutano wa cdm wa Dodoma ili tufanye tathmin!
 
Hii ni kauli ya hofu na uoga uliopindukia! Rubish!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tamko la Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Dodoma kuhusu mustakabadhi wa amani, ulinzi na usalama katika kipindi cha mikutano yote ya Bunge. naona kuna mic ya TBC tuu mezani.

DSC_0076.JPG
 
Hivi ww unaishi nchi gani? Tbc imerudia tamko la RC wa Dom zaidi ya mara tatu.....! Sikiliza taarifa za Tbc.

Unajua habari nyingine usiposikia mwenyewe kama hii ukaambiwa tu huwezi kuamini, maana ni ummaamuma wa kutisha huu, kwani wananchi hawaruhusiwi kuja kusikiliza bunge? Hicho kilikuwa kikao cha ulinzi na usalama wa CCM.
 
nimecheka sana na uamuzi huu wa RC.
hivi dodoma ina wakazi wangapi?
RC anategemea mikutano ya chadema itaongeza watu wangapi?
je tunahitaji polisi wangapi kulilinda dodoma wakati huu wa bunge+mikutano ?
je chadema wakiamua kufanya mikutano yao dodoma vijijini RC atabakia na msimamo huo huo?
je amri hii ya RC in athari gani kwa mikutano ya baadae kama ya kimataifa mjini dodoma itakayopangwa kufanyika sambamba na shughuli za bunge?
je RC amewasiliana na IGP kuomba msaada wa polisi kutoka maeneo mengina ikashindikana?mbona arumeru tulijaza mapolisi kutoka sehemu mbalimbali Tanzania!!
 
Kaka usipoteze muda wako huyu kada wa ccm kaingia upepo baada ya show ya chadema leo makao makuu ya ccm! Dodoma wabunge wanahitaji ulinzi wa nini wakati wao ni wawakilishi tu wa wananchi, kwahiyo hataki hata wabunge watembelewe na wananchi wao?
 
Hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza. RC amekosa mahali pa kujishikiza ili awe salama.
 
Back
Top Bottom