mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,037
- 251
Ccm kwa sasa ni. Kama mgonjwa mahututi, chochote kitakachofanyika hakitakisaidia,
Kuruhusu maandamano ni kuiruhusu cdm kujenga ushawishi wake kwa wananchi ambapo cdm ina haki hiyo kwa mujibu wa katiba.
Na vilevile kuikataza cdm kufanya mikutano,maandamano au kitu kingine chochote ambaxcho katiba na sheria imetoa haki hiyo nayo inaiweka ccma ktk hali mbaya zaidi kwani licha ya kuipaisha cdm pia itapata sympathy ya watu, na watu wengu watavutiwa kutaka kujua cdm huwa wanasema nini ktk mikutano yao hadi serikali ikaogopa na kukataza kufanya mikutano hiyo.
Mwisho chochote wanachoamua kukifanya ccm kukinusuru chama chao ni zero tu, ni sawa na mgonjwa kama akifika hali ya kushindwa kuishi huwa wanadai maji, hapo ukimpa atayachukua maji atajaribu kuyanya na hayatopita kooni yatamwagika na mwisho atakata roho, na hata ukimnyima ukihofu kuwa majoi yasiwe chanzo cha kifo cha mgonjwa wako, atatoa macho kwa kiu huku akiwa na donge rohoni kuwa inakuwaje wewe uliye jukumu la kumsaidia yeye ukatae kumpa maji ili uokoe maisha yake, mwisho atakufia mikononi huku akiwa na sikitiko moyoni.
Amini asoamini ccm imefika hatua hii sasa dua na sala zetu ni muhimu, ili kupunguza watu watakaoenda mahkamani baada ya ccm kupigwa chini 2015 ,aana kuna wengine watapelekwa m,ahakamani kwa kutuibia rasilimali zeru lakini wengine watapelekwa mahakamani kwa kututukana sisi na wazazi wetu.
Mungu ibariki Tanzania