wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,493
- Thread starter
- #81
Kaka acha hizo bhana,mshahara wa Mwalimu wa certificate anayeanza kaz Leo ni sawa na posho ya kati kati ya mwezi ya polisi au askari.MAMBO MENGI YAMEKUA YAKIELEZWA ISIVYO,KAMA JAMBO HULIFAHAMU NI BORA USICHANGIE,WALIMU KAMA WATUMISHI WENGINE WA SERIKALI NI KWELI WANA KIPATO DUNI,LAKINI NAPINGANA NA DHANA KWAMBA NI WALIMU TU NDIO WANAPATA SHIDA YA KIPATO,UKWELI AMBAO WATU WENGI HAWATAKI KUUFAHAMU NI KUWA MISHAHARA YA WATUMISHI WA SERIKALI INAFANANA SANA ,KIKUBWA NI MTUMISHI HUYO ANA KIWANGO KIPI CHA ELIMU NA UZOEFU KAZINI,KINACHOTOFAUTISHA WALIMU NA WATUMISHI WENGINE NI MAISHA YA WIZI,UFISADI NA KULIPANA POSHO KUSIKO NA MSINGI,KWA MFUMO HUU WA JPM KUBANA MATUMIZI WATU WAISHI KWA MISHAHARA YAO NDIO MTAAMINI KWAMBA KAZI ZOTE ZINASTAHILI HESHIMA,WATANZANIA TUBADILIKE TUSIHUSUDU WATU WEZI KWA KUJIDANGANYA ETI WANA MISHAHARA MIKUBWA KUMBE WANAIBA PESA ZETU WENYEWE.FUATILIEN MISHAHARA YA WATUMISHI WOTE MLINGANISHE TENZ MTAGUNDUA MWALIMU ANAPATA MSHAHARA ZAIDI YA WATUMISHI WENGINE KWA KILA LEVEL IWE CERTIFICATE,DIPLOMA AU DEGREE,ANAYEWEZA KUBISHA HILI AJE NA FACTS,SIO POROJO TU
Piga picha wewe Mwalimu unalipwa laki 3 kama mshahara toka tarehe 25 hadi tarehe 25 mwezi mpya kati kati ya mwezi hapa ni patupu lakini mwanajeshi au polisi wanalipwa hiyo laki 3 kama mshahara kisha tarehe 15 analipwa tena laki 2 hadi 3 za posho pia wanalipwa na ela ya pango ya nyumba kila mwezi.
Sasa huyu polisi au askari atafanana maisha na Mwalimu ambaye anapata laki 3 tu ndani ya siku 30 ? Bila posho wala chochote?
Hizo ndizo fact za serkali za ccm na dharau kwa walimu.
Usikoment kama uko political motivated