Serikali za CCM na kuwadharau walimu

Serikali za CCM na kuwadharau walimu

wengi ni walimu kwa sababu hakukuwa na namna (wengi sio wote), ila kama unaona mishe haziendi ukiwa mwl, piga chini. kuna mambo mengine ya kufanya badala ya kulalamika. suala la kuajiriwa sio issue. wewe unaweza kufanya makubwa kuliko unavyofikiri nje ya ualimu au unaweza ukaendelea kuchomekea mashati huku unapitwa kipato mbali na muuza chipsi
 
wengi ni walimu kwa sababu hakukuwa na namna (wengi sio wote), ila kama unaona mishe haziendi ukiwa mwl, piga chini. kuna mambo mengine ya kufanya badala ya kulalamika. suala la kuajiriwa sio issue. wewe unaweza kufanya makubwa kuliko unavyofikiri nje ya ualimu au unaweza ukaendelea kuchomekea mashati huku unapitwa kipato mbali na muuza chipsi
Hahahahahaha, mkuu umenifurahisha.
 
mbona kila kukicha ni walimu tu! ni kada nyingi sana wanamaisha magumu kuliko ata hao walimu.
Tena bora ata kuna walimu wanaoishi kwenye nyumba za shule kuliko uyu mtendaji wa mtaa wetu anaeridhika kwa kuitwa jina tu la Afisa mtendaji na wakati ata hana vigezo vya kuwa afisa.
 
Hahahahahaha, mkuu umenifurahisha.
ni kazi flani hivi unakuwa una mawazo ya kutoboa unashindwa yanaongezeka majukumu unaamua ku relax usubiri ustaafu.
Ni kazi ambayo kiujumla wanaoifanya wanafanya bora liende, ila ukifanikiwa kubadili unachokipenda kuwa ajira yako utafanikiwa zaidi mkuu.
 
Mkuu bora watendaji wana madili mengi ya kupiga pesa,ukilinganisha na walimu.
Walimu wao kama kupata pesa za ziada hadi wasubiri mwaka wa uchaguzi ndipo serkali inawatumia kusimamia au kuandikisha kwenye daftar la wapiga kura,mbali ya kaz za uchaguz hawana tena dili la maana.
 
Enzi zile tunasoma,ukiulizwa unataka kuwa nani,kwa kujivuna kabisa unasema mwalimu,mwalimu alikuwa anaheshimika ila siku hizi kuwa mwalimu ni kama uko jehanamu vileee, heshima hakuna tena
 
Kwakweli walimu ni watu wa ajabu sana,mwenzako anashushwa cheo ninyi wengine mnashangilia.
Cha ajabu zaidi viongozi wengi wakuu wa awamu hii ya 5 waliwahi kupitia kwenye ualimu lakini sijui watafanye kwa walimu wenzao walipo makazini kwa sasa? Je watajitahidi kuboresha masrahi ya hawa walimu wetu au business as usual?
Tuwape muda tuone mkuu
 
Ualimu siachi, napenda from deep inside my heart....
Hayo mengine nawacheki
 
Enzi zile tunasoma,ukiulizwa unataka kuwa nani,kwa kujivuna kabisa unasema mwalimu,mwalimu alikuwa anaheshimika ila siku hizi kuwa mwalimu ni kama uko jehanamu vileee, heshima hakuna tena
Ni sahihi kabisa mkuu,siku hizi hakuna kabisa hali ya walimu kuheshimika na wananchi
 
Ualimu siachi, napenda from deep inside my heart....
Hayo mengine nawacheki
Halafu siamini kama wanaopondea ualimu wote ni walimu...walimu wenyewe wanajua nini kipo ktk ualimu....waache mashabiki wabaki wamejikaririsha...
 
Ungetuambia katika mambo yapi usitake kujumuisha masuala unataka kutuambia kila shida ya Waalimu ni kutokana na serikali ya CCM au?
Tuambie dharau katika nini hasa?
 
MAMBO MENGI YAMEKUA YAKIELEZWA ISIVYO,KAMA JAMBO HULIFAHAMU NI BORA USICHANGIE,WALIMU KAMA WATUMISHI WENGINE WA SERIKALI NI KWELI WANA KIPATO DUNI,LAKINI NAPINGANA NA DHANA KWAMBA NI WALIMU TU NDIO WANAPATA SHIDA YA KIPATO,UKWELI AMBAO WATU WENGI HAWATAKI KUUFAHAMU NI KUWA MISHAHARA YA WATUMISHI WA SERIKALI INAFANANA SANA ,KIKUBWA NI MTUMISHI HUYO ANA KIWANGO KIPI CHA ELIMU NA UZOEFU KAZINI,KINACHOTOFAUTISHA WALIMU NA WATUMISHI WENGINE NI MAISHA YA WIZI,UFISADI NA KULIPANA POSHO KUSIKO NA MSINGI,KWA MFUMO HUU WA JPM KUBANA MATUMIZI WATU WAISHI KWA MISHAHARA YAO NDIO MTAAMINI KWAMBA KAZI ZOTE ZINASTAHILI HESHIMA,WATANZANIA TUBADILIKE TUSIHUSUDU WATU WEZI KWA KUJIDANGANYA ETI WANA MISHAHARA MIKUBWA KUMBE WANAIBA PESA ZETU WENYEWE.FUATILIEN MISHAHARA YA WATUMISHI WOTE MLINGANISHE TENZ MTAGUNDUA MWALIMU ANAPATA MSHAHARA ZAIDI YA WATUMISHI WENGINE KWA KILA LEVEL IWE CERTIFICATE,DIPLOMA AU DEGREE,ANAYEWEZA KUBISHA HILI AJE NA FACTS,SIO POROJO TU
 
Ualimu ni taaluma nyeti sana,ila kila kilichonyeti hujificha lakini wao hujianika.
Ualimu unadharaulika kwa kuwa [HASHTAG]#inasemekana[/HASHTAG] ni kimbilio la waliofeli.
Hatutaweza kupata elimu bora kutoka kwa mwalimu aliyefeli masomo ambayo atakwenda kuyafundisha.
Walimu wameidharaulisha taaluma yao wenyewe kwa KULALAMIKA kila kukicha.
Hata ukimpa mwalimu mil.1 bado ataendelea kuyumba kiuchumi
Waliofaulu vizuri na kusomea ualimu hawalalamiki hata kidogo.
Ualimu ni taaluma ambayo ina asilimia kubwa ya watoto wa maskini ambao wao WANATEGEMEWA kwa kiwango kikubwa.
Ualimu si taaluma ya kuidharau kama UTAWALA ufanyavyo.HAKUNA TAALUMA YENYE WATU WAOGA KAMA UALIMU.
swali....:VIONGOZI WA CHAMA CHA WALIMU WAKO PALE KWA MASLAHI YA NANI?
KWANINI VIONGOZI HAWA WANA MAISHA BORA KULIKO WANAOWALIPA?
ombi langu kama MchovuWaFikra: TAKUKURU NA CAG WAKAFANYE KAZI KATIKA OFISI HIZI ZA CHAMA CHA WALIMU.
 
"Walimu tuna hali ngumu walimu na sisi tu umuhimu walimu tutazua kitimutimu walimu kwenye wizara ya elimu" wagosi wa kaya
 
Ungetuambia katika mambo yapi usitake kujumuisha masuala unataka kutuambia kila shida ya Waalimu ni kutokana na serikali ya CCM au?
Tuambie dharau katika nini hasa?
Kwani wewe hujui kuwa serkali zetu toka Uhuru zimekuwa zikiongozwa na ccm?
Matatizo ya walimu yanasababishwa na serkali na serkali ipo chini ya Ccm
 
Back
Top Bottom