wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,493
- Thread starter
- #41
Mimi sio Mwalimu, lakini kutokana na kauli nyingi za serkali za ccm kutaka kuboresha elimu kama kujenga madawati,maabara na kushinikiza wanafunzi wasome sayansi; nimeona mbali ya kauli zote hizi wamemsahau sana muhusika mkuu wa kutoa hiyo elimu yaani Mwalimu.Na wewe ni mwalimu au mwanaharakati?
Hakuna elimu bora Kama walimu hawana mazingira na masrahi bora.


