Serikali za CCM na kuwadharau walimu

Serikali za CCM na kuwadharau walimu

Nani kakwambia serkali ni Mimi au wewe?
Acha kuleta Maneno ya kijiweni hapa.Serkali inajumuisha rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,manaibu mawaziri, wakurugenzi,na makatibu wakuu.Sasa wewe unawezaje kusema Mimi au wewe ni serkali?
Acha hizo wewe!
Waalimu waelewa hawana muda wa kulalamika wana apply rich Dady Poor Dady's theory "Mind you own business" lawama haiongezi mafanikio.
Focus your success in your mind and be persistence.
 
Kwani hao wote wanawawakilisha akina nani?ndiyo tulivyo hatutaki kuoneshwa kuwa Sisi ni sehemu ya sababu ya hali zetu.
Komaza akili yako
Mkuu kila nchi kuna watunga sera na kuzitekeleza,Mimi au wewe kwamfano hatuna uwezo wa kusema walimu walipwe hivi au vile au tuboreshe elimu hivi,ndiomaana tunaitwa wananchi alafu kuna viongozi.
Sasa unapokuwa unakomaa tu kwamba sisi wananchi tujipangie mambo mazuri yakufanyika nchini kwetu unanipa wasiwasi na ufahamu wako,au wewe ni darasa la ngapi? Hadi unashindwa kuelewa mpaka uliopo kati ya serkali na mwananchi?
 
Waalimu waelewa hawana muda wa kulalamika wana apply rich Dady Poor Dady's theory "Mind you own business" lawama haiongezi mafanikio.
Focus your success in your mind and be persistence.
Mimi kama mwananchi wa kawaida nina nafasi ya kuyasemea mambo ambayo naona hayako sawa katika nchi yangu.
Kila mtu akijari mambo yake tu bila kujua na kufuatilia mambo yanayotokea nchini mwake,nani ataweza kupongeza au kukosoa mambo yanayotendea nchini?
Au wewe unapenda kila mtu awe anasema ndio kwakila jambo na kusifia?
 
Mkuu kila nchi kuna watunga sera na kuzitekeleza,Mimi au wewe kwamfano hatuna uwezo wa kusema walimu walipwe hivi au vile au tuboreshe elimu hivi,ndiomaana tunaitwa wananchi alafu kuna viongozi.
Sasa unapokuwa unakomaa tu kwamba sisi wananchi tujipange mambo mazuri yakufanyika nchini kwetu unanipa wasiwasi na ufahamu wako,au wewe ni darasa la ngapi? Hadi unashindwa kuelewa mpaka uliopo kati ya serkali na mwananchi?
Viongozi ni zao la jamii jamii mbovu huzaa viongozi wabovu lazima tubafilike sisi wananchi kwa upande wetu.
Darasa langu hata nikikutajia halina maana kama ninachojigunza kwako na unachojifunza kwangu,nipo darasani bado najifunza kwako na wewe usikatae kujifunza
 
Mimi nimebadirika ndiomaana,naikumbusha serkali ambao ndio watendaji wakuu,kuwa elimu yetu kama taifa haiwezi kuwa bora kama yasipofanyika mambo fulani ya msingi katika eneo la elimu.
Lengo langu sio kulalamika bali kueleza hali iliyopo katika sekta ya elimu na walimu.
 
Kwamiaka mingi sana walimu wanaofundisha shule za serkali zote za msingi na secondary wamekuwa wakipata masrahi duni sana Tanzania ukilinganisha na watu wa kada nyingine.
Mwalimu wa Tanzania analipwa pesa mdogo sana mbali ya hapo halipwi posho,halipwi ela ya fani aliyosomea wala halipwi overtime. Maisha ya walimu ni magumu sana lakini hapo hapo serkali inatamka kila siku kuwa anataka kuboresha elimu ya Tanzania.
Elimu bora ni pamoja na walimu bora,Mwalimu atakuaje bora kama ana njaa??
Imefika kipindi hata waosha magari wa mitaani wanajiona wana pesa kuliko walimu wa Tanzania.
Hivi serkali za ccm kwani ninyi walimu mnawaonaje au mnawaona hawastahiri kulipwa vizuri?
Shukuru Mungu siku hizi mnaweza kununua hata starlet na baby walker. Wale wa zamani ndo walikuwa na maslahi duni. Una smartphone unalalamika? Dah! kama ajira ya ualimu mbaya mbona msipoajiriwa na serikali mnalalama na kuilaumu serikali? Nimewaza kwa sauti tu!
 
Hahahahahaha, mkuu siku hizi hata wanafunzi wana miliki smart phone.
Pia Mimi sio Mwalimu mkuu.
 
U
Shukuru Mungu siku hizi mnaweza kununua hata starlet na baby walker. Wale wa zamani ndo walikuwa na maslahi duni. Una smartphone unalalamika? Dah! kama ajira ya ualimu mbaya mbona msipoajiriwa na serikali mnalalama na kuilaumu serikali? Nimewaza kwa sauti tu!
achanganya madawa hapa na wewe
 
Serikali kuwakandamiza walimu inakandamiza elimu yetu na uchumi wetu kwa ujumla,uwezi inua uchumi kama elimu ya nchi inasuasua na ukizungumzia elimu unazungumzia wawezeshaji ambao ni walimu,serikali isipolipatia ufumbuzi suala ili tutaendelea kuwa chini kiuchumi tukizidiwa na nchi nyingine ndogo ndogo kama Rwanda.
 
Back
Top Bottom