Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,294
Hivi Sita alikuwa anaishi hotelini au???
Nashangaa!!!kwa hiyo tutakuwa tunajenga nyumba mpya kila tutakapopata spika mpya?
Hivi Sita alikuwa anaishi hotelini au???
Yeah, bado kuna mawaziri hawana nyumba kwa sababu serikali ya Mkapa iliamua kubinafsisha nyumba za serikali.Nashangaa!!!kwa hiyo tutakuwa tunajenga nyumba mpya kila tutakapopata spika mpya?
Msekwa na Sitta walikuwa wanaishi wapi?
Spika akiwa anakagua ujenzi wa makazi yake mapya ambayo yanajengwa kwa kodi zetu.
Hii ni hali katika hospitali zetu.Baadhi ya walipa kodi wakiwa wamelala au kukaa chini kutoka na uhaba wa vitanda na viti,sehemu ya pesa zao ndio zinatumika kujenga majengo ya kifahari.
Inatia hasira kweli hapa sijui tataambiwa bilioni ngapi jmn,
kwa mtindo huuu wacha tubebe mabox tuu
Nawewe ukipewa ka uongozi utakubali ulale kwenye nyumba za tembe
Spika akiwa anakagua ujenzi wa makazi yake mapya ambayo yanajengwa kwa kodi zetu.
Hii ni hali katika hospitali zetu.Baadhi ya walipa kodi wakiwa wamelala au kukaa chini kutoka na uhaba wa vitanda na viti,sehemu ya pesa zao ndio zinatumika kujenga majengo ya kifahari.
Mwanzoni mwaka huu kama sio mwishoni mwa mwaka jana watu wengi walipiga kelele kuhusu kiasi cha pesa kilichotumika kujenga makazi ya gavana wa benki kuu.Baadhi yetu tuliamini serikali itaanza kujirekebisha kutoka na kosa hilo hasa baada ya kuwa waziri mkuu anayejulikana kama mtoto wa mkulima ambaye mara nyingi amekuwa akituashiria hapendi makuu.Sasa jumba la kifahari kama hili linajengwa on his watch, tutaanza kuona hata hiyo ya kukataa magari ya kifahari ni kujitafutia umaarufu wa kisiasa.
Du!NGESEWA WANAVIMBIWA HALAFU WANAKWENDA TAPIKIA MIGUUNI MWA WAZUNGU,Kazi ya MKWERE ni kututukanisha kwa wazungu kuwa Watanzania ni maskini wakti huu umaskini wanautengeneza wao na mabasha wao
Inatia hasira kweli hapa sijui tataambiwa bilioni ngapi jmn,
kwa mtindo huuu wacha tubebe mabox tuu
Hii ni nyumba ya Gavana wa benki kuu kati ya nyumba mbili zilizo gharimu bilioni 5.7,ilizuwa manunguniko mengi kutoka kwa wananchi kutoka na gharama kubwa kupita kiasi.
Msekwa aliuziwa nyumba ambayo ilibidi kila spika awe anakaa (kama ikulu ya bunge),alipokuja sitta akawa hana nyumba ya kukaa akapangishiwa nyumba masaki akawa analipiwa $7,000 (kama 12M) kwa kwa mwezi kukaa humo,naona saiv ndo wameamua kujenge nyumba nyingine ya spika ambayo itakua permanent. Me loving Tanzanian politics jmn watu wanaiba mpk takataka
Thubutuuu!!!