Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Halafu SWIMING POOL ya nini?..........huyu mama ataitumia kweli?
Ni pambo tu kuonekana kama nyumba ya kifahari
Lakini wajukuu si anao watakuwa wanaoga na vyura humo humo
Halafu SWIMING POOL ya nini?..........huyu mama ataitumia kweli?
Hivi Sita alikuwa anaishi hotelini au???
Nyerere aliwahi kuwaambia ''manataka kunijengea jumba kubwa lanini?kwani mimi tembo?'' hawakujenga...huyu mama anafuatilia kabisa ''weka hiki weka kile''.........sisi tutaendelea kukaa huku maans sio tembo sisi
Unfortunately, alijengewa. Kinachoniumiza ni hizo swimming pool katika nchi ambayo maji ya kunywa yenyewe ni adimu! Tunapenda mno kuiga vitu hata kama hatuvitumii. Na hapo hatujazungumzia gharama ya kuhudumia swimming pool! na security system na vikolombwizo vingine vya kipuuzi ambavyo vitaingizwa humu kuipandisha staha ya nyumba!
Amandla.......
Spika akiwa anakagua ujenzi wa makazi yake mapya ambayo yanajengwa kwa kodi zetu.
Hii ni hali katika hospitali zetu.Baadhi ya walipa kodi wakiwa wamelala au kukaa chini kutoka na uhaba wa vitanda na viti,sehemu ya pesa zao ndio zinatumika kujenga majengo ya kifahari.
Mwanzoni mwaka huu kama sio mwishoni mwa mwaka jana watu wengi walipiga kelele kuhusu kiasi cha pesa kilichotumika kujenga makazi ya gavana wa benki kuu.Baadhi yetu tuliamini serikali itaanza kujirekebisha kutoka na kosa hilo hasa baada ya kuwa waziri mkuu anayejulikana kama mtoto wa mkulima ambaye mara nyingi amekuwa akituashiria hapendi makuu.Sasa jumba la kifahari kama hili linajengwa on his watch, tutaanza kuona hata hiyo ya kukataa magari ya kifahari ni kujitafutia umaarufu wa kisiasa.
Aaah huku wafika pia Maria Roza?Romania karibuu:teeth::teeth::whoo:
Sasa hili ndiyo baya zaidi ya fedha wanazoiba.Kwa mfano,Watu wana viwanda miaka zaidi ya ishirini lakini kiwango cha bidhaa zao ni kile kile, kwa sababu vipaumbele vyao viko kwenye kukwepa kodi au mambo mengine ya kifisadi. Mtu anafanya kazi ofisini badala ya kuangalia njia ya kujiendeleza ni kufanya kazi kwa bidii iliaweze kupandishwa cheo au kuongezewa mshahara badala yake macho yako kama kuna mianya yoyote ya kifisadi iliaweze kupiga bao. Matokeo yake tuna endelea kuwa maskini kwa sababu kila mtu anaamini bila ufisadi hautakaa uendelee.''Íf you want to live straight life in africa, you die a poor man''
Do you think kwa nini huwa tunatukanwa kuwa ni MONKEYS?
Ni matendo kama haya!
Hasa viongozi wetu ,hawana aibu kabisa.
Huyo Spika mwanamke,labda atembelee pale Temeke hospital ,kama Naomi Campbell alivyfanya,may be umonkey utamtoka
hauko peke yako......... nimechoka balaa, yani hadi basi tue bana nambie basi unabebea box lako wapi nije nikusaidie huko uliko,jua la bongo na politiko +ufisadi vimenichosha:A S crown-1: