johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,877
Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) imewataka wananchi wanaotaka kusoma elimu ya juu nchini kuwasiliana moja kwa moja na vyuo husika na kamwe wasiwatumie watu wanaojiita mawakala au washauri wa vyuo vikuu.
Katibu mtendaji wa TCU, Prof. Kihampa amewataka wanafunzi wenye maswali au kutaka ushauri na ufafanuzi kuhusu vyuo hivyo wawasiliane na TCU.
Source: ITV habari!
Katibu mtendaji wa TCU, Prof. Kihampa amewataka wanafunzi wenye maswali au kutaka ushauri na ufafanuzi kuhusu vyuo hivyo wawasiliane na TCU.
Source: ITV habari!