Serikali yawaasa wananchi wanaotaka kusoma Elimu ya Juu kutotumia wanaojiita mawakala au washauri wa kujiunga na Vyuo Vikuu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) imewataka wananchi wanaotaka kusoma elimu ya juu nchini kuwasiliana moja kwa moja na vyuo husika na kamwe wasiwatumie watu wanaojiita mawakala au washauri wa vyuo vikuu.

Katibu mtendaji wa TCU, Prof. Kihampa amewataka wanafunzi wenye maswali au kutaka ushauri na ufafanuzi kuhusu vyuo hivyo wawasiliane na TCU.

Source: ITV habari!

ABE674AF-E26E-4AA1-A52F-E3A4E3E75ADD.jpeg

82FA9DC2-773E-47A1-B206-EBCD2F7774DC.jpeg

47A8AF6C-C8E2-48F0-9D38-2E862267C5B0.jpeg

45CA96B0-5F1F-4166-858A-E8EF4F3C0A81.jpeg
 
Back
Top Bottom