Serikali yatoa tahadhari ya ugonjwa wa Chikungunya, ambao umetokea Mombasa Nchini Kenya

Hii homa imepiga sana Mombasa. Nina ndugu anaeishi huko asema mtaa wake wote, zaidi ya watu 20 waliamka siku moja wakiwa hawawezi kushuka vitandani, wanatambaa kwenye vyooni! Baadhi ya symptoms zake, mtu hunyong'onyea sana na kwa siku tatu hivi hawezi kusimama wima. Haielekei kama unauwa, pengine watu wenye complications nyingine.
Mi nadhani hii ni dalili nyingine ya majaribio ya wazungu ya silaha za kibaiolojia dhidi ya watu weusi barani Afrika, sawa na ule mlipuko wa Ebola Afrika Magharibi. Alama kuu utaona baada ya muda utapotea na usirudi tena kwa maana wamekwisha assess kiwango cha athari zake.
Ukisema hivi watu wanaojidai wana akili sana wanakuambia ni "conspiracy theory". Ukiwauliza kwa nini Ebola ya Afrika Magharibi iliuwa Waafrika tu na hakuna hata Mzungu aliyedhurika....wanakukodolea macho!
Watu wenye kuchunguza maendeleo ya mambo ya dunia hiii wanafuatilia kwamba si aghalabu kusikia milipuko ya magonjwa haya ya ajabu ajabu Marekani au Ulaya Magharibi au hata Mashariki. Haya ni majaaliwa ya Afrika, baadhi ya nchi za Asia na Latin America basi!
Mana maabara maalumu ya kutengeneza magonjwa na wanatumia wanajeshi wao kusambaza
 
Mkuu usipende kutetea ujinga. Huyu mama si ndiye alikuwa akipiga debe kwamba hakuna mgonjwa anayelala chini wakati wagonjwa kibao wanalala chini kila siku?
Hivi kusema anatimiza majukumu yake ni kutetea? Pia, nimeuliza jambo rahisi tu; pale alipopata taarifa za mlipuko wa huu ugonjwa, ulitaka afanye nini kama kiongozi? Hoja tafadhali
 
Sasa kama Mbu ndio anayesambaza, iweje tena kuwepo na hiyo ''chikungunya'' badala ya malaria? Kuna uwezekano vipi Mbu huyo huyo akasababisha Malaria na ''Chiku''? Wataalamu wa afya em tupatieni maelezo zaidi.
 
Mkuu nadhani hujanielewa. Kutimiza majukumu in a NEGATIVE way hakukubaliki hata kidogo.
 
Sasa kama Mbu ndio anayesambaza, iweje tena kuwepo na hiyo ''chikungunya'' badala ya malaria? Kuna uwezekano vipi Mbu huyo huyo akasababisha Malaria na ''Chiku''? Wataalamu wa afya em tupatieni maelezo zaidi.
Umeuliza ciritcal questions
 
Chikungunya kwa kiingereza inaitwaje maana hilo jina kwangu ni geni sana
Hilo jina lipo kama lilivyo kiswahili au kijapani au kiingereza.

Linatokana na lugha ya kimakonde maana yake ni "kujikunja mgongo" au "kujikunyata" kama vile mtu anaesikia baridi kali.

Huo ugonjwa uligunduliwa na wazungu enzi za ukoloni huko Mtwara.
Na kweli umelipuka huko Kenya, juzi BBC swahili walikuwa wanamuhoji dokta flani wa huko Kenya aliuelezea vizuri sana.
 
Hii homa imepiga sana Mombasa. Nina ndugu anaeishi huko asema mtaa wake wote, zaidi ya watu 20 waliamka siku moja wakiwa hawawezi kushuka vitandani, wanatambaa kwenye vyooni! Baadhi ya symptoms zake, mtu hunyong'onyea sana na kwa siku tatu hivi hawezi kusimama wima. Haielekei kama unauwa, pengine watu wenye complications nyingine.
Mi nadhani hii ni dalili nyingine ya majaribio ya wazungu ya silaha za kibaiolojia dhidi ya watu weusi barani Afrika, sawa na ule mlipuko wa Ebola Afrika Magharibi. Alama kuu utaona baada ya muda utapotea na usirudi tena kwa maana wamekwisha assess kiwango cha athari zake.
Ukisema hivi watu wanaojidai wana akili sana wanakuambia ni "conspiracy theory". Ukiwauliza kwa nini Ebola ya Afrika Magharibi iliuwa Waafrika tu na hakuna hata Mzungu aliyedhurika....wanakukodolea macho!
Watu wenye kuchunguza maendeleo ya mambo ya dunia hiii wanafuatilia kwamba si aghalabu kusikia milipuko ya magonjwa haya ya ajabu ajabu Marekani au Ulaya Magharibi au hata Mashariki. Haya ni majaaliwa ya Afrika, baadhi ya nchi za Asia na Latin America basi!
mkuu nimekuelewa vizuri sana,
 
Back
Top Bottom