Serikali yatoa siku 4 kwa wafanyabiashara wa Korosho kusema tani wanazohitaji. Baada ya hapo hawataruhusiwa tena kununua

Ukifatilia kidogo utagundua hats ivory coast walimaji hodari was korosho wanapitia mtihani huu wa bei kuporomoka duniani. Viongozi huko wanalishughulikia kwa busara nyingi na sijasikia vitisho wala jeshi kuingizwa kubangua kwameno!! Tujifunze kutafuta suluhu kwa akili na busara nyingi tusikimbize au kuwaporomosha wafanyabiashara wetu kwani hii nchi ni huru na tunahaki kujitaftia popote,vyovyote alimradi kihalali.
 
Nafurahi Sana nazidi kupata matumaini kuona serikali yangu haiyumbishwi
Safi Sana walizoea..na huu NI ujumbe tosha kwa vikundi vingine vinavyoamini vina nguvu kuliko ofisi ya Rais
Wawe wauza madawa ya kulevya,wawe Wala ruzuku,wawe wafadhili wa mashoga,wawe waaandishi mankanjanja wote wakae wakijua awamu hii iko on fire walete tu vichwa vyao uone Magufuli anavyovikata kwa shoka
Ubongo dhaifu
 
Ulidhani wangekataa mbele ya Raisi? Alafu si mlisema wakishindwa mtanunua sasa vitisho vya nini?
yap, upo sahihi serikali inasubiri tamko lao kawamba wananunua au la,tatizo wao hawajaongea chochote hivyo serikaki ikianza kununua bila kuwauliza wafanyabiashara itakuwa inawaonea.
Kuhusu kuogopa kukataa mbele ya Rais hiyo ni kawaida maana hata wapinzani humsifia Rais Magufuli wakiwa mbele zake ingawa wakiwa nje wanamponda balaa
Refer Msigwa's incident.
 
hahaa serikali " haina hela aisee inalazimisha wafanya biashara kununua korosho "... sasa siwanunue wao " halafu hao wafanya baishara wakanunue kwa serikali shida iko wapi
Na kuna mtu alishasema serikali ina mihela kibao ya kununulia
 
Dengu
Korosho
Mbaazi
Ufuta
Mahindi
Mwani
Hayo Ndiyo Mazao Ya Wanasiasa Yaani Yanakosa Uelekeo Daily Kisa Political
 
NYIE VIPI NYIE KUNA MAMBO HAMJUI
SERIKALI TUMETUMA WATAALAM WETU WAMEENDA MASOKO YA DUNIA WAMEGUNDUA BEI YA 3000 NI SAHIHI KWA MKULIMA NA KWAO WAFANYABIASHARA.ISITOSHE TULISHAKUKUBALIANA NAO.UKIINGALIA HELA AMBAYO KOROSHO ILIINGIZA KWA MWAKA JANA TANI ZAID YA LAKI TATU SIO HELA NYINGI KIASI SERIKALI TUSHINDWE KUFANYA MAAMUZI MAGUMU.TUTAZINUNUA TU NYIE SUBIRINI MUONE HIZO SIKU NNE ZIPITE..TUNATAKA SERIKALI YA NAMNA HII TULIWAWEZA WA MADINI TUTAWASHINDWA HAWA WA KOROSHO????LAZIMA TU WAACHE HUU MGOMO BARIDI KWANI HAWATAKI FEDHA?
Serikali inunue ikauze basi kwanini iwabembeleze wafanyabishara
 
Back
Top Bottom