Si alisema serikali itazinunua zote tunasubiri utekelezaji matamko ya nini tena.Magufuli mzee wa nyuma mwiko..viongozi wengi wa afrika wangekuwa na misimamo hii afrika ingekuwa mahali bora sana kwa waafrika.
Mbona anababaika? Si alisema serikali itanunua? Ukiona hivyo hakuna helaMagufuli mzee wa nyuma mwiko..viongozi wengi wa afrika wangekuwa na misimamo hii afrika ingekuwa mahali bora sana kwa waafrika.
Wakati amewapa siku nne kisha hakuna kununua tena..sasa kubabaika wapi ndugu?Mbona anababaika? Si alisema serikali itanunua? Ukiona hivyo hakuna hela
Tulia kwenye kitu uone kitu..Ngojea tuone sasa maana huu ndo ile gagsta republic! Mlisema hela ipo msiweke maneno mengi nunueni korosho zote na mlisema mtabanguaje sijui! This is business simple no one wants loss na nyie mnataka kiki za kisiasa! Na bado yajayo yanafurahisha zaidi.
Magu ni jeur sana. Anauwezo wa kuzinunua na kuziacha hata ziozee kwenye maghala. Kwaza yeye kma yeye hana hasara maana pesa ni za mlipa kodi. Anaweza fanya ivyo imrad tu aonekane kwasaidia wakulima ili ajinyakulie sifa lakini mwisho wa siku aitie hsra nchMbona anababaika? Si alisema serikali itanunua? Ukiona hivyo hakuna hela
Wewe una korosho?Ungekua na korosho zako ghalani zimekosa mnunuzi usingeandika huu utumboWakati amewapa siku nne kisha hakuna kununua tena..sasa kubabaika wapi ndugu?
Tutake radhi! Siyo mlevi sema mnywajiNa bado
Ipo siku mlevi asipoenda bar ataambiwa kwa nini hukuja jana
Hahahahahaa..Maajabu haya!
Yaani ufutie watu usajili kisa wameshindwa kununua bidhaa/korosho? Kama bei imeporomoka, wao wafanyaje?
Hata kwenye sukari kulikuwa na vitisho vya aina hii ila mwisho wa siku yakawashinda.
Hili zao ndio limeshakufa hapa chini na sidhani kama wakulima watalima tena hili zao.
Hahahaha sawa mkuuTutake radhi! Siyo mlevi sema mnywaji
Maajabu haya!
Yaani ufutie watu usajili kisa wameshindwa kununua bidhaa/korosho? Kama bei imeporomoka, wao wafanyaje?
Hata kwenye sukari kulikuwa na vitisho vya aina hii ila mwisho wa siku yakawashinda.
Hili zao ndio limeshakufa hapa chini na sidhani kama wakulima watalima tena hili zao.
Wafanyabiashara 35 wametekwa tayari !Waziri Mkuu yuko TBC Live akitoa tamko la Serikali.
Serikali imetoa muda wa siku nne pekee, kuanzia leo Ijumaa hadi Jumatatu kwa Kampuni zote 35 nchini zilizojiandikisha kununua korosho kuhakikisha zinajirodhesha katika Ofisi ya Waziri Mkuu, zikieleza kunuia kununua korosho na kueleza kiwango cha korosho zinazotarajiwa kununuliwa na kampuni hizo.
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amesema, watakaokuwa tayari waandike katika Ofisi ya Waziri Mkuu lakini watakaoshindwa kuomba kununua korosho, hawataruhusiwa kununua korosho.
Waziri Mkuu amesema korosho iliyozalishwa mwaka huu ni kiasi cha tani zipatazo 200,000 ambazo ni pungufu kulinganisha na za mwaka jana.
Imeyumbishwa na mashoga itakuwa Korosho?Nafurahi Sana nazidi kupata matumaini kuona serikali yangu haiyumbishwi
Safi Sana walizoea..na huu NI ujumbe tosha kwa vikundi vingine vinavyoamini vina nguvu kuliko ofisi ya Rais
Wawe wauza madawa ya kulevya,wawe Wala ruzuku,wawe wafadhili wa mashoga,wawe waaandishi mankanjanja wote wakae wakijua awamu hii iko on fire walete tu vichwa vyao uone Magufuli anavyovikata kwa shoka