Dah!Kwani hizi tozo walizopitisha huko bungeni ni takwa la wananchi? Anaongea nini huyo Masauni?
Hapa umemaliza mkuu 'Tindo'!
Natamani sana huyo waziri angeipata hii, tusikie anasemaje.