Marehem hasemwi vibaya kwenye mimbari same walivyo mnanga ndivyo watakavyo nagwaMsemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema wameipa TUCTA muda wakajadiliane kuhusu mishahara mipya kisha walete mapendekezo yao serikalini.
Naye Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema TUCTA wameipa muda Serikali ikaje na ufafanuzi juu mishahara kuwa pungufu ya Kima kilichoahidiwa.
Rais Nyamhokya amesema TUCTA ilitegemea ongezeko la 23.3% lingekwenda kwa bima vyote vya mishahara kama ilivyozoeleka katika miaka iliyopita.
Source ITV habari