TUCTA yaema inaendela kuzungumza na Serikali kuhusu Kikokotoo kipya. Watumishi wa Serikali wamiminika kuomba kustaafu kwa hiari

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
UONGOZI wa Shirikisho Huru la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), umesema upo kwenye mazungumzo na serikali kuhusu namna kikokotoo kipya cha mafao kitakavyokuwa kinatumika baada ya muda uliotolewa na Rais John Magufuli kuendelea kutumia cha zamani utakapokuwa umekwisha.

Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Mbeya na Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya, wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (Talgwu) Mkoa wa Mbeya ambao uliambatana na uchaguzi mkuu wa chama hicho.

Nyamhokya alisema awali baada ya kuona madhara ya kikokotoo kipya walianza mazungumzo na serikali kwa ajili ya kuomba kikokotoo kipya kitoe asilimia 40 badala ya 25, lakini wakati wanaendelea na mazungumzo hayo Rais Magufuli aliagiza kiendelee kutumika cha zamani.

Alisema maelekezo ya Rais ilikuwa kikokotoo kipya kianze kutumika mwaka 2023, hivyo wao wanachokifanya sasa hivi ni majadiliano na viongozi wa serikali juu ya namna bora ya utekelezaji wa kikokotoo hicho kipya.

“Tunataka tuone ni namna gani bora kikokotoo hicho kipya kitakavyotumika baada ya mwaka 2023 ili wafanyakazi wasiathirike na wala mifumo ya serikali isiathirike,” alisema Nyamhokya.

Katibu wa Talgwu Mkoa wa Mbeya, Sunday Nzaligo, alisema liche ya serikali kuruhusu watumishi kuanza kupandishwa madaraja, lakini bado kuna ukakasi kwenye ngazi ya halmashauri kuhusu utekelezaji wa takwa hilo la kisheria.

Aidha, alisema wapo baadhi ya wakurugenzi watendaji wa halmashauri wamekuwa wakiwahamisha watumishi wa umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine bila kuwalipa stahili zao kwa mujibu wa sheria za utumishi.

Alisema kitendo hicho kinawakatisha tamaa watumishi, hivyo akaiomba serikali kusimamia na kuhakikisha watumishi wanapata haki zao.

“Mheshimiwa Rais, aliagiza watumishi wanaostahili kupandishwa madaraja wapandishwe lakini bado agizo hilo halitekelezwi kama inavyotakiwa, vilevile tunaomba wakurugenzi wazingatie sheria wanapowahamisha watumishi,” alisema Nzaligo.

Katika hatua nyingine, imebainishwa kuwa kumekuwapo na ongezeko kubwa la wafanyakazi wa Serikali, kuomba kustaafu kwa hiari ili kulipwa mafao kwa kikokotoo cha sasa ambacho kitafikia ukomo mwaka 2023

Katibu mkuu wa chama cha wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia Ufundi Stadi, Ushauri, habari na Utafiti (RAAWU) , Winston Makere ametoa taarifa hiyo leo, Jumatatu Septemba 16 wakati anafungua semina ya viongozi wa RAAWU nchini.

Amesema kutokana na ongezeko kubwa la watumishi kutaka kustaafu kwa hiari kabla ya miaka yao, hivi sasa wizara ya Utumishi, imeanza kusita kupokea maombi ya watu kustaafu kwa hiari.

" Ndio sababu bado tunaomba suala hili, tuendelee na majadiliano, awali tulipendekeza malipo ya mkopo yabaki asilimia 50 lakini Serikali ikapinga, tukapendekeza asilimia 40 pia ikakataliwa na sasa tunajadliana malipo ya asilimia 37.5,"amesema.
 
.

Ngoma ngumu, watu washachoka na majanga
 
Sidhani kama kuna kiongozi yeyote wa TUCTA anayejua ILO conventions!
Wote ni wasanii na ma-parasites kwa wanachama na wafanyakazi wenzao.
 
Serikali ni mtu... Au watu.... Wao wameshashiba... Sisi tuna njaa !! Serikali yetu ya CCM kweli imekataa kusikiliza kilio Cha wananchi wake... Siamini... Tufafanulie vizuri. Hayati JPM aliona hakifai....! Kwani mkimlipa mstaafu chake mkaachana nae Kuna mbaya? Mahangaiko yote hadi kuwaletea wastaafu stress kwa kuwatabiria kifo baada ya miaka 12.5(miaka kumi na mbili na miezi sta) ni ya nini?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom