Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 754
Unataka tukuambie..Kwa utendaji huru wa jpm cjui ukawa watatuambia nini
. Hakuna democracy
. nchi imeyumba kiuchumi.
. wanachi wanatekwa na kupotea ovyovyo.
. serkali haina uwezo wa kuajili watumishi.
. Serkali haina uwezo wa kuboresha mishara kwa watumishi.
. Uchumi unadorora kila uchwao.
. Hakuna protocal kwenye uongozi mkuu wa mkoa ndie msemaji wa serkali, ndie msemaji wa waziri wa mkuu.
Kuna vioja kibao....
. Serkali haina uwezo wa kupambana na majanga jama njaa nk, badala yake inategemea wahisani na kinachopatikani serkali inakiparamia