Serikali yamwaga vitanda vya wagonjwa nchi nzima

Cha msingi hapo ni Serikali kusikia na kutatua kero za muda mrefu katika sekta ya Afya za Watanzania. Chuki na Roho mbaya zitawatafuna na kuwamaliza awamu hii.
Huwezi kutekeleza budget Kwa 30% ukajisifia kuboresha afya, muda mrefu sana hospitali zina uhaba wa vifaa na madawa, vifaa vya bilion mbili na ushee si lolote Kwa demand iliyopo na mbaya zaidi vinasambazwa nchi nzima
 
Tunahitaji uhuru si vitanda!
Uhuru upi unaohitaji? Kama hauko huru mbele ya "mkeo" hayo ni matatizo yako. Sisi tuko huru ndani ya nchi yetu.

Hongera sana Rais Magufuli. Piga kazi mkuu wa nchi, piga kazi, tuko pamoja na wewe.
 
Kila Halmashauri kupewa Vitanda vya Hospitali vya kawaida 20, Vitanda vya kujifungulia wajawazito 5, Magodoro 25 na Mashuka 50.
----

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO​

TAARIFA KWA UMMA

USAMBAZAJI WA VIFAA VYA HOSPITALI KWA HALMASHAURI
ZOTE 184 NCHINI

Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuboresha huduma za Afya nchini ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma za Afya kwa kiwango kinachotakiwa na hivyo kuweza kushiriki kikamilifu katika kujiletea maendeleo yao sambamba na kushiriki katika ujenzi wa uchumi wa viwanda. Baadhi ya maeneo yaliyofanyiwa uwekezaji mkubwa ni upatikanaji wa dawa ambapo Bajeti ya dawa imeongezeka kutoka shilingi bilioni 31 mwaka 2015/16 hadi shilingi bilioni 251 mwaka 2016/17. Hatua hii imeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa dawa, vifaa na vifaa tiba kwenye vituo vya umma vya kutolea huduma za afya.

Aidha, kufuatia ahadi ya Mhe. Rais ya kununua na kusambaza vitanda kwenye vituo vya umma vya kutolea huduma za afya nchini, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilitenga kiasi cha shilingi 4,000,000,000.00 katika bajeti ya mwaka 2016/17, ili kuwezesha ununuzi na usambazaji wa Vifaa vya Hospitali katika Vituo vya kutolea huduma za afya. Tunapenda kuutaarifu umma kuwa, Wizara imeanza rasmi zoezi la kitaifa la kusambaza Vifaa vya Hospitali kwa Halmashauri zote 184 nchini. Uzinduzi wa zoezi hili unafanyika leo tarehe 11/4/2017 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, ambapo Mhe. Ummy Ally Mwalimu (Mb), Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto atamkabidhi Mhe. Job Ndugai (Mb), Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sehemu ya vifaa hivyo. Katika zoezi hili, kila Halmashauri nchini itapatiwa Vitanda vya Hospitali vya kawaida (Hospital beds) (20); Vitanda vya kujifungulia wajawazito (Delivery beds) (5), Magodoro (25) na Mashuka 50.

Jumla ya Vifaa vya Hospitali vitakavyogawiwa kwa Halmashauri zote 184 nchini ni Vitanda vya Hospitali vya kawaida (Hospital beds) (3,680); Vitanda vya kujifungulia Wajawazito (Delivery beds) (920); Magodoro (4,600); na Mashuka (9,200). Thamani ya vifaa hivi ni shilingi Bilioni 2,933,125,600. Zoezi hili linatarajiwa kukamilika kabla ya tarehe 30 Juni 2017.

Aidha, napenda kuchukua fursa hii kuutaarifu umma kuwa awamu ya pili ya mgao huu wa Vifaa vya Hospitali itahusisha Hospitali za Rufaa za Mikoa, Hospitali za Rufaa za Kanda na Hospitali maalum. Ni matarajio ya Wizara kuwa vifaa hivi vitagawanywa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya umma vyenye uhitaji kwa kuzingatia vipaumbele vya Halmashauri husika.

Wizara ya Afya inapenda kumshukuru Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uamuzi wake wa kuhakikisha fedha za umma zinatumika kwa ajili ya kuboresha huduma za afya hapa nchini.

KWA PAMOJA, TUNABORESHA AFYA ZETU!

Imetolewa na;
Catherine Sungura,
Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano Serikali - Afya,
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Chuo Kikuu cha DODOMA,
S.L.P. 743,
DODOMA.

11 Aprili 2017

View attachment 494267View attachment 494268
Halafu utaona kuna wanafiki wanakuja hapa nakuanza kuponda.

Hongera sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri.
 
View attachment 494267View attachment 494268[/Q Haya sasa, Rais ndiyo huyo anachapa kazi, kila hospitali nchi nzima imepewa vitanda, magodoro, mashuka etc kesho kutwa tena atamwaga dawa kila mahali, kazi kwenu mshindwe kuugua. Chadema kuingi ikulu mtasubiri sana
 
Hayo ni maandalizi ya kukabiliana na msongamano wa majeruhi watakaojeruhiwa na watekaji wa TISS kisha kulazwa kwenye hospitali zetu.
Na huko majeraha yatasafishwa maji ya chunvi, serikali inakaa hata miezi mitatu bila kupeleka pesa.....
 
Tunahitaji uhuru si vitanda!

Pumbavu uhuru wa kuwa mashoga na misukule ya ma drug dealers and trafficking?.nimekuona fara kabisa.eti hautaki nniniau hhaunamkemama yako atajifungulia cchinimzee wako akiugua atalala wwapiusifikirie kwa upeo wa pua jamaa.
 
Uhuru upi unaohitaji? Kama hauko huru mbele ya "mkeo" hayo ni matatizo yako. Sisi tuko huru ndani ya nchi yetu.

Hongera sana Rais Magufuli. Piga kazi mkuu wa nchi, piga kazi, tuko pamoja na wewe.
Unaanza matusi, sijapenda , mke wangu si mama yako ninayem.t.o.ba, shenzi
 
Pumbavu uhuru wa kuwa mashoga na misukule ya ma drug dealers and trafficking?.nimekuona fara kabisa.eti hautaki nniniau hhaunamkemama yako atajifungulia cchinimzee wako akiugua atalala wwapiusifikirie kwa upeo wa pua jamaa.
pumbavu mama yako hawara yangu
 
Halimashauri 1 ina hospital 3 vituo vya afya 10 hivi vitanda 20 watagawaje!! Hii ni vichekesho. Pamoja na kubana matunizi ndiyo hivi???
 
2015/2016 watu walipiga sana kelele kuhusu huduma ya afya kudorora,baada ya mwaka mzima ndipo kilio chao at least kwa kiasi flani kimesikilizwa,kwa ratio ya kawaida ni kuwa ukililia kitu mwaka huu kitegemee next year,however hongera serikali kwa kujitahidi kwa hayo machache,ila mkumbuke hili zuri moja huharibiwa na yale mabaya yenu 99,yaacheni.
 
Aibu hii eti kila Halmashauri vitanda 20 afu ynasema Serikali imemwaga vitanda..
 
Kwa sasa habari ni Utekaji na uteswaji hivi vitanda ni wajibu wa serikali.
 
Back
Top Bottom