Serikali yamwaga vitanda vya wagonjwa nchi nzima

Serikali yamwaga vitanda vya wagonjwa nchi nzima

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi baba akihemea chakula ndani ya nyumba yake napo anastahili kupigiwa makofi ilihali ni moja ya majukumu yake?

Kwanza hizo ni pesa zetu si vinginevyo
 
"Serkali ya mwaga vitanda vya wagonwa nchi nchi nzima" hapo tu ulipo hapana kitanda alafu unaandika vimemwagwa nchi nzima... Una akili kweli?
 
Kwa hili Mheshimiwa Rais Magufuli apongezwe kufikia 2020 nategemea hakuna mgonjwa ata share kitanda na mgonjwa mwingine.
 
Shida ya wapinzani sio vitanda,madawa,maji au barabara shida yao Makonda aondolewe...

Akiondoka Makonda, shida za Watanzania zitaisha na kukoma kabisa.!

Halafu kesho utasikia mbunge anasema "nimepigania vitanda hadi serikali imesikia kwenye jimbo langu"........ Wakati huo huo kila siku bungeni hoja yake ilikuwa Bashite ang'olewe...
Hakika !
 
Halimashauri 1 ina hospital 3 vituo vya afya 10 hivi vitanda 20 watagawaje!! Hii ni vichekesho. Pamoja na kubana matunizi ndiyo hivi???
Hivyo vitanda na magodoro ni nyongeza tu siyo kama havikuwepo kabisa na waziri ameshauri vigawe kwenye maeneo yenye mahitaji makubwa
 
Back
Top Bottom