Serikali yakubali kuilipa Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yakubali kuilipa Dowans

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AK-47, Jan 6, 2011.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akiwa na viongozi wa Tanesco leo hii amesema serikali imekubali kuilipa Dowans holding SA (Costa Rica) kiasi cha dola 65, 812,630. Kinachusubiriwa sasa ni kwa mdai kuwasilisha madai yake mahakama kuu ya Tanzania. Pia wamiliki wametajwa hakuna mtanzania yupo Mkenya 1, India 1, Oman 1, Canada 2, Singapore 1. But I believe wote watakuwa wanaasili ya kiasia.
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hiyo kali na tulijua tu.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Na Rostam katoka huko juzi tu...Ngeleja bado yumo katika payroll ya huyu jamaa
   
 4. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ohh my country Tanzania,why ar u still toralating these most selfish and corrupted people in the world......We just c them come with nothing but left with Everyting from us...Gosh!!!!!! sorry mkuu ni Hasira tu juu hizi selfish pipo kwani kila nchi walipo then the whole country is corrupted and rotted kwa Rushwa na wizi....cheki huko canada kulivyo kaka...Poor us!
   
 5. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Rostam Alisema Janakuwa alikuwa Singapore recenlty!!! haya sasa akili ku mkichwa!!
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Crooks are cooking..................................ndio wamesajili brela?

  Duh JK yuko fast kulipa watu hata hapendi madeni. teh teh
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  "Mimi nilishiriki katika kuwashawishi Dowans kuja nchini. Nitaendelea kushawishi wawekezaji waje nchini ili nchi iendelee, ajira ipatikane na kodi ziongezeke."Juzi tu nimetoka Singapore, Malaysia na UAE (Falme za Kiarabu) kuwashawishi wawekezaji kuwekeza kwenye usafiri wa anga," alisema Rostam.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Wanajua akili ya zetu ziko ARUSHA...kwa hiyo hatutafuatilia
   
 9. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Now I believe ,this guy RA is on top of every body in this country and may he might be f...u...c...k...i...n...g our president....O.M.G.!!!!
   
 10. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe Ngeleja hebu tuondolee upuuzi wako hapa. Sisi tunajua kuwa Rostam, aliyekuajiri Vodacom na aliyekupachika uwaziri wa nishati kuwa ndiye mmliki wa Dowans, na ndiye aliyekutuma utudanganye Watanzania. Ole wako!
   
Loading...