Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Wameumbuka.kazi ya kulimia Meno imeanza
kazi ya kulimia Meno imeanza
Sasa tatizo likwapi? Wacha tushtakiwe utata ukaishe kama kushinda tushinde kama wao washinde tujue mojaLissu aliwaambia tutashitakiwa Lumumba mapovu yakawatoka eti hakuna kitu kama hicho.
Majinga mengi nchi hii!Lissu aliwaambia tutashitakiwa Lumumba mapovu yakawatoka eti hakuna kitu kama hicho.
Sio nyinyi mliokuwa mnambeza Lissu alipowaonya kuwa tutashitakiwa? Leo kiko wapi?Sasa tatizo likwapi? Wacha tushtakiwe utata ukaishe kama kushinda tushinde kama wao washinde tujue moja
anakusalimia rafiki yakoLissu aliwaambia tutashitakiwa Lumumba mapovu yakawatoka eti hakuna kitu kama hicho.
Kushitakiwa sio tatizo?Sasa tatizo likwapi? Wacha tushtakiwe utata ukaishe kama kushinda tushinde kama wao washinde tujue moja
Deni ni kubwa mno!!Ma trilioni tutakayodaiwa hapo c mchezo. Tulijifunga wenyewe kny mikataba mibovu, madini yetu wamechukua, na ma-trilioni tutawalipa kufidia usumbufu
Sote tutanena lugha moja siku moja.Mwanzo walikuwa wanasema uchumi unapaa na Tanzania inaongoza kwa uchumi wake kupanda barani Afrika, juzi Dr Mpango amekiri uchumi wa nchi unaporomoka.
Walikuwa wanakataa serikali haijashitakiwa kwenye mahakama za usuluhishi za kimataifa, leo Dr. Kabudi kasema ni kweli makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining yameishitaki serikali.
Kwa trend hii kuna siku serikali itakuja kukiri kuwa inawajua wasiojulikana, aliko Ben, na Azory, inawajua waliomteka MO nk. Tega sikio.