Serikali yakiri kushtakiwa na makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining

Mwanzo walikuwa wanasema uchumi unapaa na Tanzania inaongoza kwa uchumi wake kupanda barani Afrika, juzi Dr Mpango amekiri wazi kuwa uchumi wa nchi unaporomoka.

Walikuwa wanakataa serikali haijashitakiwa kwenye mahakama za usuluhishi za kimataifa, leo Dr. Kabudi kasema ni kweli makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining yameishitaki serikali.

Kwa trend hii kuna siku serikali itakuja kukiri wazi kuwa inawajua wasiojulikana, inajua waliko Ben na Azory, inawajua waliomteka MO nk.

Wakati ni mwalimu mzuri sana tega sikio.
Ukweli wakati wote unajitenga na UWONGO.
 
Muda ndo umefika
 
Walikuwa wanakataa serikali haijashitakiwa kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa, leo Dr. Kabudi kasema ni kweli makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining yameishitaki serikali.

Tunakoelekea ndiyo kwenyewe wote tutaongea lugha moja mungu ibariki Tanzania na uwalaani wanaoiharibu hii nchi
 
Mwanzo walikuwa wanasema uchumi unapaa na Tanzania inaongoza kwa uchumi wake kupanda barani Afrika, juzi Dr Mpango amekiri wazi kuwa uchumi wa nchi unaporomoka.

Walikuwa wanakataa serikali haijashitakiwa kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa, leo Dr. Kabudi kasema ni kweli makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining yameishitaki serikali.

Kwa trend hii kuna siku serikali itakuja kukiri wazi kuwa inawajua wasiojulikana, inajua waliko Ben na Azory, inawajua waliomteka MO nk.

Wakati ni mwalimu mzuri sana tega sikio.

Jambo usililolijua ni sawa na usiku wa giza.
 
Nnawapongeza sana wale wote wenye Mawazo mbadala (Wapinzani) dhidi ya Serikali hii ,mme lipa gharama ya kusema Ukweli na mtaendelea kulipa mpaka Kobe atoe Kichwa chake nje.

Pole Mh Lissu na wengine woote walio fikwa na Gharama za kuusema Ukweli na kuusimamia.
 
Utawala haramu umewaibua wengi kuja kwenye mitandao ya kijamii...
Hebu tuungane tuliangushe jiwe 2020 ili tuwaachie madaraka wanaojielewa na wanaoelewa uongozi na siasa, waendeshe nchi..
na hii mitandao tuwaachie wanahabari wapashane mawazo jengefu ili wengine turudi kwenye shughuli zetu za uzalishaji ambazo sasahivi pombe kazikwamisha !
 
Mwanzo walikuwa wanasema uchumi unapaa na Tanzania inaongoza kwa uchumi wake kupanda barani Afrika, juzi Dr Mpango amekiri wazi kuwa uchumi wa nchi unaporomoka.

Walikuwa wanakataa serikali haijashitakiwa kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa, leo Dr. Kabudi kasema ni kweli makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining yameishitaki serikali.

Kwa trend hii kuna siku serikali itakuja kukiri wazi kuwa inawajua wasiojulikana, inajua waliko Ben na Azory, inawajua waliomteka MO nk.

Wakati ni mwalimu mzuri sana tega sikio.
Mwisho wakubali kuwa gari letu linaendeshwa na dereva wa guta
 
Wataanza kujitenga na Magufuli soon maana wanaona mmh jamaa kazidi kiburi hata kisichofaa
 
Kuna maafisa wa serikali wameona ni ujinga kuendelea kukana ukweli wakati unajulikana wazi. Hapa tulipo ni katikati ya muhula wa uongozi wa awamu ya tano, maana mwaka wa kwanza huwa ni wa kupanga timu na miaka mine ni ya kazi.
Sasa nusu ya kwanza imesheheni uongo, propaganda na mabavu kiasi kuwa nchi imeingia katika nchi 10 za mwisho duniani kwa kukosa furaha.
Wakati nchi tisa wenzetu kwenye kundi hilo ni wenye vita, njaa na machafuko sisi tumejaliwa neema kuu kuu za Mungu kasoro UONGOZI BORA tuu
 
Hata kuna siku pia Tundu Lisu atasema ukweli jinsi walivyopigana risasi ndani ya chadema ili waisingizie Serikali yetu na kukosea stepu kuishia kufwatuliana risasi wenyewe kwa wenyewe, ni swala la muda tu, laana ya kusema uongo ikimzidia atafunguka tu ili ajisafishe na kuishi maisha safi, hata dereva wake ipo siku atasema hata akiwa Kitandani dakika za mwisho lkn atasema tu!
 
Utawala haramu umewaibua wengi kuja kwenye mitandao ya kijamii...
Hebu tuungane tuliangushe jiwe 2020 ili tuwaachie madaraka wanaojielewa na wanaoelewa uongozi na siasa, waendeshe nchi..
na hii mitandao tuwaachie wanahabari wapashane mawazo jengefu ili wengine turudi kwenye shughuli zetu za uzalishaji ambazo sasahivi pombe kazikwamisha !
Pombe si chai
 
Kwani economics theory zinasemaje.
Akili zenu nyie watu ni shida...Hata macho hayawezi kungamua vitu.
 
Back
Top Bottom