Serikali yakiri kushtakiwa na makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining

Miwashukuru wale wote waliofanya kisomo cha albadiri
Mwanzo walikuwa wanasema uchumi unapaa na Tanzania inaongoza kwa uchumi wake kupanda barani Afrika, juzi Dr Mpango amekiri wazi kuwa uchumi wa nchi unaporomoka.

Walikuwa wanakataa serikali haijashitakiwa kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa, leo Dr. Kabudi kasema ni kweli makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining yameishitaki serikali.

Kwa trend hii kuna siku serikali itakuja kukiri wazi kuwa inawajua wasiojulikana, inajua waliko Ben na Azory, inawajua waliomteka MO nk.

Wakati ni mwalimu mzuri sana tega sikio.
 
Hata kuna siku pia Tundu Lisu atasema ukweli jinsi walivyopigana risasi ndani ya chadema ili waisingizie Serikali yetu na kukosea stepu kuishia kufwatuliana risasi wenyewe kwa wenyewe, ni swala la muda tu, laana ya kusema uongo ikimzidia atafunguka tu ili ajisafishe na kuishi maisha safi, hata dereva wake ipo siku atasema hata akiwa Kitandani dakika za mwisho lkn atasema tu!
Kama alijipiga risasi au ulituma wa kumpiga mbona hamuwakamati hao kama mmashindwa basi wananchi hatupo salama
 
Watendaji karibu wote wanafahamu mambo si mambo mtaani, rejea Mwakyembe pia amewahi kukiri 'vyuma kukaza " wakati akizungumzia wizi wa kazi za wasanii.

hapa alikuwa anasema king Majuto hakunufaishwa na mikataba ivyo yeye ndo angie mfukoni wakati mwajua hali ni mbaya mtaani.

sema ndo ivo wanapigania matumbo yao, hata jiwe anajua khali siyo ndo maana frastuasheni hazimuishi.
 
Mwanzo walikuwa wanasema uchumi unapaa na Tanzania inaongoza kwa uchumi wake kupanda barani Afrika, juzi Dr Mpango amekiri wazi kuwa uchumi wa nchi unaporomoka.

Walikuwa wanakataa serikali haijashitakiwa kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa, leo Dr. Kabudi kasema ni kweli makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining yameishitaki serikali.

Kwa trend hii kuna siku serikali itakuja kukiri wazi kuwa inawajua wasiojulikana, inajua waliko Ben na Azory, inawajua waliomteka MO nk.

Wakati ni mwalimu mzuri sana tega sikio.

Tumuombee jamani ili aweze kufanya utekaji na umwagaji damu zaidi
 
Polepole watajulikana wazalendo wa kweli wa taifa letu na mumiani wa taifa hili.
 
Mwanzo walikuwa wanasema uchumi unapaa na Tanzania inaongoza kwa uchumi wake kupanda barani Afrika, juzi Dr Mpango amekiri wazi kuwa uchumi wa nchi unaporomoka.

Walikuwa wanakataa serikali haijashitakiwa kwenye mahakama ya usuluhishi ya kimataifa, leo Dr. Kabudi kasema ni kweli makampuni ya Pangea Mineral Limited na Bulyanhulu Gold Mining yameishitaki serikali.

Kwa trend hii kuna siku serikali itakuja kukiri wazi kuwa inawajua wasiojulikana, inajua waliko Ben na Azory, inawajua waliomteka MO nk.

Wakati ni mwalimu mzuri sana tega sikio.
mimi nasubiria wale wa kuwa nje ya ulingo leo, hakikisha unaleta mrejesho
 
Mkuu kesha kiri kuwa yeye ni kichaa tena kichaa kweli kweli tutegemee kupigwa mawe sana tu, hakunaga kichaa mwenye maamuzi mazuri.
 
Nashauri hiyo kesi serikali ikodi mawakili wa kujitegemea akina kibatara,jebra na wengineo ili pesa ipungue ya kuwalipa hao mabepari nje na hapo kesi hizi 2 tutadaiwa kama trillion 3 hivi.
 
Chadema unaowazani walimpiga Lissu risasi wanahitaji wachunguzi kutoka nje ili ajulikane asiyejulikana. Swali kwanini serikali inakataa wachunguzi kutoka nje? Ni jambo gani lililopelekea serikal kupiga marufuku kuombewa ya Lissu?
Hata kuna siku pia Tundu Lisu atasema ukweli jinsi walivyopigana risasi ndani ya chadema ili waisingizie Serikali yetu na kukosea stepu kuishia kufwatuliana risasi wenyewe kwa wenyewe, ni swala la muda tu, laana ya kusema uongo ikimzidia atafunguka tu ili ajisafishe na kuishi maisha safi, hata dereva wake ipo siku atasema hata akiwa Kitandani dakika za mwisho lkn atasema tu!
 
Hata kuna siku pia Tundu Lisu atasema ukweli jinsi walivyopigana risasi ndani ya chadema ili waisingizie Serikali yetu na kukosea stepu kuishia kufwatuliana risasi wenyewe kwa wenyewe, ni swala la muda tu, laana ya kusema uongo ikimzidia atafunguka tu ili ajisafishe na kuishi maisha safi, hata dereva wake ipo siku atasema hata akiwa Kitandani dakika za mwisho lkn atasema tu!
Hivi nyie huwa mnatumia akili kweli kufikili ingekuwa ndio chadema wamefanya hayo walahi nakwambia siku hiyo hiyo Wangekamatwa acheni kutufanya watanzania wajinga sisi kwa propanganda sa kitoto hizo
 
Binafsi nimpongeze JPM kwa kuwa sasa tunashtakiwa internationally zaidi. Tuipongeze awamu hii ya tano maana kushtakiwa internationally ni kuitangaza nchi. Soon watalii watafurika nchini
 
Back
Top Bottom