Serikali yakiri kununua vichwa vya SGR Mitumba

Serikali yakiri kununua vichwa vya SGR Mitumba

Dah vipi Kuhusu Train zenyewe zitatoboa Moro? au ndo tukifika PUGU tunashuka na kusukuma kidogo mpaka umeme utakaporudi?

nakumbuka kuna siku gari ilizima Tazara pale ( semi ) Mwana usalama akaja niambia niitoe wakati anaona chuma imezima ndipo nikamwambia tuisukume basi tuiweke pembeni jamaa aliniona mkorofi chuma ina tani 30
 
Huyu Mwana Mbhate Masanja Kadogosa
Angefanyiwa Utaratibu Chap Atupishe, Hivi Treni Ya 0 Kilometres Ina Maana Mpaka
Wamekwenda Kwenye SAgurasagura
 
Haya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .

Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla haijajulikana .

Sasa ni dhahiri JF ndio chanzo cha Uhakika cha Taarifa za kweli .
Kweli Jf sio kitoto!
 
Mbawala on the record bila aibu alikuja akawaambia wananchi haya mabehewa ni mapya,mwenye ile clip aiweke tujikumbushe tuu jinsi hawa viongozi walivyo mafala, Kadogosa na yeye hana statement zilizonyooka anaonekana mpigaji tuu au hakuna kitu anachojua zaidi ya ujinga tuu
 
Ohooooo !!!
 
Bora aambiwe tu hakuna mtu anaondoka hapa kwa mama Tanzania
Yani leo kwenye simu ya demu wangu katumiwa emoji za mapenzi nimeumia balaa. Kija JF kusoma huu uzi tumepigwa mabehewa nimeumia zaidi.
 
Tatizo si kuwa USED au NEW,

Tatizo ni kutumia pesa ya MKOPO kununua mabehewa mtumba Kwa Bei ya mara tatu juu zaidi ya Bei halisi ya mabehewa hayo huko yaliponunuliwa.

Nia na malengo ya MIKOPO na dhamira vihojiwe Kwa Umakini mkubwa.

Aamen.
Haya ya mtumba tutalipa kiasi gani na mapya tungelipa kiasi gani?..

Leta evidence mkuu
 
Back
Top Bottom