hakuna raisi hapa kuna vichekeshoWalishakubaliana kuwa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.
Kama wakina nani?Wale mataga lia-lia…
Mbona Samia alishasema tutaanzia na bichwa vikuukuu,ulikua wapi!?Haya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla haijajulikana .
Sasa ni dhahiri JF ndio chanzo cha Uhakika cha Taarifa za kweli .
Alishasema tutaanzia mitumbaraisi nae kakubaliana na hili kama amelikalia kimya basi ana manufaa nalo ama uwezo wake wa kiuongozi uko chini mnoooo
Juzi tuu mlikuwa mnatukana watu waliosema mabehewa ni USED na hukusema huo upuuzi wa kuanzia mitumba, hata kama ni uchawa muwe na standard kidogoAlishasema tutaanzia mitumba
Rais alisema tutaanzia mitumba,shida mnatafuta Cha kunung'unikia msio na jemaJuzi tuu mlikuwa mnatukana watu waliosema mabehewa ni USED na hukusema huo upuuzi wa kuanzia mitumba, hata kama ni uchawa muwe na standard kidogo
ila tumeanzia mitumba yenye bei ya mpya hatari sanaAlishasema tutaanzia mitumba
Nani atahoji mkuu 'Rabbon'?Tatizo si kuwa USED au NEW,
Tatizo ni kutumia pesa ya MKOPO kununua mabehewa mtumba Kwa Bei ya mara tatu juu zaidi ya Bei halisi ya mabehewa hayo huko yaliponunuliwa.
Nia na malengo ya MIKOPO na dhamira vihojiwe Kwa Umakini mkubwa.
Aamen.
Walisema tangu mwanzo, train ya ghorofa toka germany itakua refurbished, 😁,, tafuta ajenda zingine za kufanya siasa, kama mmeishiwa mbinu toeni hela think tank tuingia mzigoni😂Haya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla haijajulikana .
Sasa ni dhahiri JF ndio chanzo cha Uhakika cha Taarifa za kweli .
Hahaa...we jamaa nimecheka sanaHivi vile vya kuokotwa bandarini siku hizi havipo? Mwendazake alikuwa na kismati sana yeye kila akitia guu bandarini lazima aokote vichwa vipyaaa zero km.
Sasa labda umwambie Kadogosa , kama walisema tangu awali Kadogosa anayarudia kwa Hangaya ili iweje ?Walisema tangu mwanzo, train ya ghorofa toka germany itakua refurbished, [emoji16],, tafuta ajenda zingine za kufanya siasa, kama mmeishiwa mbinu toeni hela think tank tuingia mzigoni[emoji23]
Hata Taifa limekula hasara kubwa sana.Kumbe ndiye huyu, masikini wazazi wake wamekula hasara
Si afadhali yeye mwendo wake alishaumaliza; kuna jingine liko huko ulaya linafumuliwa malinda na akina rob amster, na mwendo likiumaliza linaenda motoni moja kwa moja bila hata kupitia purgatory!Linabanikwa huko dadeq
Msemaji wa chadema ukiishiwa nondo ni shida sana. Hii issue ilishasemwa long time ago, inashangaza kwako imekuwa issue mpya! Chadema ya sasa kuna ugonjwa wa kuelewa mambo, kama siyo wa kupoteza kumbukumbu.Sasa labda umwambie Kadogosa , kama walisema tangu awali Kadogosa anayarudia kwa Hangaya ili iweje ?
Pumbavu kabisa, hujui hii dili ilisainiwa wakati wake? Ndo maana watu hawaogopi kukiri kuwa wamenunua mtumba, wanajua mwizi alishakufa mkichokoza zaidi mtaoneshwa na vimemo vyakeR.I.P Magufuli
Bei utaijua wewe jamaangu!?..we utajua Bei za itel na Tecno kkooila tumeanzia mitumba yenye bei ya mpya hatari sana
Foolswillalways be fools. Walileta Uhuru 1961, fools. Wakatugomboa Utumwa wa Waarabu 1964, fools. Wakatugomboa Vita vya Kagera, fools. Kufika 1977 wakatuungamisha , fools. Wametupa multiparty 1992, fools. Ilani yao nzuri wakajishindia multiparty, fools. Mwaka 2020 wakazoa 87%/13% wakambwaga tundulissu, fools. Kaja Samia, fool. Bring on the nonfools.Only fools will support CCM.
Hatimaye wamesema ukweli bado kwenye bei sasaHaya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla haijajulikana .
Sasa ni dhahiri JF ndio chanzo cha Uhakika cha Taarifa za kweli .
Pole kwa kuchelewa gunduaukweli usemwe mama ana uwezo mdg mnooo, wapumbavu wanampeleka atakavyo hajui hata afanye nini ni kupokea tu maelezo na kuitikia