Serikali yakiri kununua vichwa vya SGR Mitumba

Haya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .

Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla haijajulikana .

Sasa ni dhahiri JF ndio chanzo cha Uhakika cha Taarifa za kweli .
Paschal Mayalla kuja kipande hii utoe maelekezo
 
Haya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .

Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla haijajulikana .

Sasa ni dhahiri JF ndio chanzo cha Uhakika cha Taarifa za kweli .
NCHI HII LONGO LONGO NYINGI KWA HIYO ZILE HESABU ZA FEDHA WANGEZIREKEBISHA PIA KWANI VICHWA MITUMBA BEI HAIWEZI KUWA ILE
 
Hii mchi upumbavu hautakuja kuisha ndio maana nasisitizq tuendelee na sisi kukimbizana na TRA.

Huwezi wekeza zaidi ta trillion 10 kwenye ujenzi uje kutumia vichwa na behewa za mtumba
Ndo tumeweza sasa.

Tuendelee kuwalalamikia wasio na uwezo wa kuongoza badala ya kuchukua hatua
 
Haya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .

Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla haijajulikana .

Sasa ni dhahiri JF ndio chanzo cha Uhakika cha Taarifa za kweli .
Hivi kwanini serikali ina viongozi waongo waongo na wala hawawajibiki kwa uongo wanaotwambia tena mbele ya press conference.
Nahisi sisi ni takataka mbele ya macho yao
 
Haya yamejulikana leo baada ya Mkuu wa Shirika la Reli ndugu Kadogosa kuyasema mbele ya Dkt Samia .

Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wa JF waliofumua mambo haya hadharani hata kabla haijajulikana .

Sasa ni dhahiri JF ndio chanzo cha Uhakika cha Taarifa za kweli .
Tatizo si kuwa USED au NEW,

Tatizo ni kutumia pesa ya MKOPO kununua mabehewa mtumba Kwa Bei ya mara tatu juu zaidi ya Bei halisi ya mabehewa hayo huko yaliponunuliwa.

Nia na malengo ya MIKOPO na dhamira vihojiwe Kwa Umakini mkubwa.

Aamen.
 
16710024950086.jpg
 
Back
Top Bottom