HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,288
- 103,481
Nyumba ni makazi ya kudumu ya mtu.Mi kile kitendo cha mtu kujenga kituo cha petroleum pale njian kimara kimenikatisha tamaa kabisa aisee. Nikimkumbuka yule Mzee wa kipemba waliemvunjia nyumba yake kwamba iko njian naumia sana.
Kile kituo kimejengwa kwa mkataba, siku wakitaka barabara yao kinaondolewa bila fidia