Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,111
- 18,493
Aisee, jamaa alikausha hazina hadi nchi 7 za wafadhili wakaiambia serikali ya mzee ruksa ikaombe msaada kwa waziri wetu wa fedha Kighoma Ally Malima.Namkumbuka Sana Prof Kighoma rip
Waafrika sijui akili zilienda wapi, unaibia hadi wananchi wako kweli?