Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

Namkumbuka Sana Prof Kighoma rip
Aisee, jamaa alikausha hazina hadi nchi 7 za wafadhili wakaiambia serikali ya mzee ruksa ikaombe msaada kwa waziri wetu wa fedha Kighoma Ally Malima.
Waafrika sijui akili zilienda wapi, unaibia hadi wananchi wako kweli?
 
Kimsingi kusimama nao mahakamani wangeishia kutushinda.

Katika kufanya Negotiation kuna kitu kinaitwa "rejecting constructively"! Hii ndio Magufuli alifanya, unawakataa kijanja lengo ni kuwarudisha mezani mkubaliane upya. Kwa hicho walichokuwa wamekubaliana ni aheri kuliko ujinga uliokuwa unafanyika mwanzoni.
Sawa,kwa hiyo mangufuli alitudanganya?
 
Aibu yetu aibu yao??

Eti mzungu akupe Trillion 360 yaani Dola Billion 154 - maweeeeee !! Yaani hata utaifishe mdodi wote uuze kila kitu hadi viti meza na wafanyakazi wote hupati hizo hela.

Unrealistic figure !!
 
Mkuu, kama mahesabu ni 0.7 kg badala ya 7 kg bado tungekuwa tunadai x10 less ambayo ni 36 Trillion. Hiyo nayo ni pesa nzuri sana. Lakini ukweli ni kwamba yote ile ilikuwa ni fix tu... Sijui kwa faida ya nani......!! Mapropesa wa Jalalani (Mruma na Ossoro) ndiyo Chanzo, sijui wanawajibishwaje kwa kulidanganya Taifa pamoja na Rais.
Mwendazake alikua anapenda kusikia zaidi maneno yanayomfurahisha
 
Yaani hata wewe Mayala, uliamini zile hadithi? Ungekuwa na uelewa japo kidogo sana wa biashara ya madini, ungeelewa tangu mwanzo, hata bila ya kuambiwa na mtu yeyote, kuwa zile hadithi za sijui trillion 360, mara Noah 1 kwa kila mtanzania, zilikuwa maalum for the fools.

Mwenye akili ukiambiwa kuna mtu kakamatwa na mahindi ya wizi tani 1,000 akiwa ameyabeba kwenye bajaji, utajua ni hadithi. Huwezi hata kupoteza muda wako kuulizia yaliwekwa kwenye magunia mangapi.

Wakati wa hadithi za makinikia ndiyo nilitambua kuwa kumbe nchi yetu ina idadi kubwa ya wajinga kuliko nilivyokuwa nikifikiria awali. Maana hata pale ilipohitajika basic reasoning, haikuwepo, bahati mbaya zaidi hata wale wenye degree nao hawakuwa tofauti na wasioenda shule hata darasa moja.

Mtu anajiita engineer, alithubutu kusema kuwa ndani ya container kulikuwa na makinikia ambayo yana dhahabu 90!! Very stupid. Hivi huyu ina maana hajui hata gravity ya dhahabu? 90% dhahabu, imejaa kwenye container, anaelewa litakuwa na uzito wa tani ngapi? Litabebwa na gari gani? Maana hilo moja, uzito wake utakuwa karibia sawa na containers 9 za mchanga. Hata ukifanikiwa tu kulinyanyua, litafumuka na kuchanika. Lakini wajinga waliamini.

Habari ya makinikia, nadhani marehemu alitaka kwa haraka kujua nchi ina kiwango gani cha ujinga.
Nadhan jomba wewe ndie mjinga kuleta maelezo yako ya kipumbavu unadhan watanzania woote ni wajinga..kama huna kazi nenda hata ukalime..au Basi utafute Bwana..hizi taarifa hatujawahi sikia viongozi wetu ambao walikuwa pamoja na JPM bega kwa bega wakituambia..wananchi tunachojua viongozi wetu wote walipiga kazi ya kufa mtu. Na Sasa wanaendelea no walewale uzuri..sijui unajaribu kutuambia utumbo gani..hutafanikiwa..kamwee..kwanza ungeanza kutuambia elimu yako uliishia darasa la ngapi. Kwa sabbu sidhani kama una elimu ya kufikia kumkosoa profesa au dokta
 
Do your homework...

Kuhusu Elimu yangu usiifutilie sana. Maana tayari ushajidhihirisha uzumbukuku wako.
Mtu wa darasa la Saba tena uliyefeli unakuja kujadili Mambo mazito humu huoni aibu..huoni Soni.. ur wasting our time
 
Jamaa yenu alikuwa na PHD feki full stop
Bila kumtaja Mwamba hoja zako ni zero na chuki binafsi,una matatizo ya kisaikolojia,tafuta msaada haraka kabla ujapiga tukio la ajabu, watu washangae kwanini umebaka mtoto wa miaka miwili kumbe maskini mwenzetu mgonjwa wa akili.
 
Nani aliekwambia ww nguchiro hizo rubbish zako????
Aisee, jamaa alikausha hazina hadi nchi 7 za wafadhili wakaiambia serikali ya mzee ruksa ikaombe msaada kwa waziri wetu wa fedha Kighoma Ally Malima.
Waafrika sijui akili zilienda wapi, unaibia hadi wananchi wako kweli?
 
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095.

Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani milioni 3.04 zinaendelea katika mabaraza hayo.

Hata hivyo Dkt. Nchemba amesema, serikali ilikubali kupokea shilingi bilioni 700 kutoka Barrick baada ya makubaliano baina ya timu ya serikali iliyoundwa na Rais wa serikali ya awamu ya tano Hayati Dkt. John Magufuli kufikia makubaliano ya pande zote na Barrick kuhusiana na madai ya shilingi trilioni 360.

Amesema baada ya makubaliano hayo ndipo ikaundwa kampuni ya Twiga ambayo inamiliki hisa asilimia 16 na Barrick inamiliki asilimia 84 ya kampuni hiyo.

Ufafanuzi huo wa waziri wa Fedha na Mipango unatokana na maswali ya Mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina aliyetaka kufahamu kwa nini serikali imekubali kulipwa shilingi bilioni 700 kutoka kampuni ya Barrick badala ya shilingi trilioni 360 za awali.

View attachment 2365511
JamiiForums-139524885_486x371.jpg
 
Hakika ww ni nguchiro,na sasa nmeamin hata wapumbavu pia huzeeka
Nadhan jomba wewe ndie mjinga kuleta maelezo yako ya kipumbavu unadhan watanzania woote ni wajinga..kama huna kazi nenda hata ukalime..au Basi utafute Bwana..hizi taarifa hatujawahi sikia viongozi wetu ambao walikuwa pamoja na JPM bega kwa bega wakituambia..wananchi tunachojua viongozi wetu wote walipiga kazi ya kufa mtu. Na Sasa wanaendelea no walewale uzuri..sijui unajaribu kutuambia utumbo gani..hutafanikiwa..kamwee..kwanza ungeanza kutuambia elimu yako uliishia darasa la ngapi. Kwa sabbu sidhani kama una elimu ya kufikia kumkosoa profesa au dokta
 
Watanzania wengi wehu!

Kulitangazwa kwamba, serikali ijiandae kufilisiwa na Miga Kwa sabb hatua zilizofuatwa kuchunguza na kubanwa Kwa kampuni ya Barik inakwenda kinyume na sheria za kiuwekezaji dunianii na hivyo JPM ataliingiza taifa kwenye hasara kubwa

Matokeo yake b700 tumezikamba Kwa ujasiri wa JPM

Wengi wa watanzania hata ukijitoa kuwapigania utaambulia matusi na dhihaka!

Hatujui tunataka kiongozi wa aina gani,

Licha kuwa tumelamba hizo, bado watu mnadhihaki? Zilizobaki mkazidai na nyie

Sjawwh ona viumbe waajab kama waafrika na sjui wanataka rais wa aina gan
 
Habari za hii nchi ni takataka kabisa, yaan ukianza kufuatilia mambo kuhusu maendeleo ya hili taifa inafika muda unakufuru tu, nchi tajiri lkn bado ina wananchi masikini choka mbaya, resources zipo za kila aina lkn bado maisha mabaya.

Kwa rasilimali zilizopo nchini zingeifanya hii nchi kuwa tishio la uchumi duniani hapo bila kutegemea tozo na kodi za kijambazi.

Just imagine tril360 kutoka kwa madini tu zilishpigwa kitaambo na wahuni wasioitakia nchi mema kwa kupitisha mikataba ya kishenzi kwa faida za familia zao.

Je kwa rasilimali zingne tunaweza kujua ni kiasi gani kilipigwa?
Huwa nasema siku zoote hii nchi huenda ina mabilionea wengii east afrika nzima, na mabilionea hawa hawajulikan na hawataki kujulikana maana utajiri wao ni ushenzi mtupu wa kuhujumu mali za taifa.

Hao wanasiasa ndio mabilionea hata akina mo na bakhresa hawaingii ndani, bisha ubishavyo ndivyo ilivyo, pesa zao huficha ktk mabenki nje ya afrika huko USA na Ulaya ambako hawawezi kuchunguzwa chanzo cha mapato Yao.

Kama tungefanikiwa kurudisha hasara waliyotuingiz wanasiasa wetu basi ili taifa kingeweza hata kuzipita nchi tajiri za Asia, ulaya na marekani.

Kushabikia Siasa za afrika ni upumbavu, huo muda bora kuutumia kuangalia pornograph uenda hata ukapata style za kumlizisha mpenzi wako au hata huo muda utumie kufanya mambo yakupayo furaha.

Ukiangaika na hili taifa unapoteza muda wako bure, jipambanie mwenyewe, kumpambania mtu mweusi ni kama laana, hatojari mapambano yako, atakudharau na kumuheshim yule amtesaye

Ahah umenena hakuna viumbe vya ovyo kama
Watu weusi
 
Kitu muhimu sana ni Watanzania have the right to information the basis ya kumsamehe mwizi wetu!.

Kama deni hilo ni bonafide genuine, serikali inapoamua kusamehe, it got to give reasons. Na baada ya hapo TRA watoe taarifa kuwa wamelifuta deni hilo.

Haya mambo akina sisi tuliyasema sana humu, kama mwanzo tulizuia makinikia kwasababu tulihisi tunaibiwa kwasababu hatujui kilichomo!.

Tukafanya uchunguzi tutathibitisha ni kweli tumeibiwa!. Tukapiga hesabu tulichoibiwa, baba mtu mbio kaja na ahadi wamekubali kila kitu na ili kuonyeshea nia njema wakahidi kishika uchumba cha Dila milioni 300!.

Mwisho wa mazungumzo tukasamehe deni lote, na kuruhusu makinikia yaondoke huku mpaka leo mpaka kesho, bado hatujui kilichomo!.

Kama tulizuia makinikia kwasababu tunaibiwa kwa kutojua kilichomo, tukathibitisha tunaibiwa!, Tumeruhusuje makinikia bila kujua kilichomo?, kwanini tulizuia?!

More explanation on this is needed.
P

Mm nipate nafas ya kuondoka afrika
 
Mtu wa darasa la Saba tena uliyefeli unakuja kujadili Mambo mazito humu huoni aibu..huoni Soni.. ur wasting our time
Mtu wa darasa la saba na shoga mwenye digrii nani ana busara?

Potezea basi ukiona haikufai
 
Back
Top Bottom