#COVID19 Serikali yakanusha kuwepo upendeleo au rushwa kwenye kampeni ya kuhamasisha chanjo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021

Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa dharura kutokana na umuhimu wa haraka ya Elimu ya chanjo ili kuepusha uwezekano wa chanjo kuchina

6C6A1137-FCDB-4F12-96A1-2110493F9C6D.jpeg
 
CCM na serikali yake hawachokagi kukanusha, hata wakiambiwa kuwa mwenyekiti wao ndiye aliyemuru lissu auawe wanakanusha
 
Jana kwenye ITV waziri alipigwa swali kuhusu upelelezi umeishia wapi wa tukio la Lissu! majibu mepesi huku akielea kuwa jeshi la polisi linaendelea ukweli utajulikana duhhhhhh tangu 2017
CCM na serikali yake hawachokagi kukanusha, hata wakiambiwa kuwa mwenyekiti wao ndiye aliyemuru lissu auawe wanakanusha
 
Ni ulaji tu,Rais mwenyewe watu walimwambia hatuchanjwi,leo inatumia pesa kuhamasisha!?
 
Kwa CCM na Serikali yake Kama Kawaida ,Hichi ni Kipindi cha MAVUNO:Mungu anawaona CCM.
 
Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021

Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa dharura kutokana na umuhimu wa haraka ya Elimu ya chanjo ili kuepusha uwezekano wa chanjo kuchina

View attachment 1972107
Tutabakia fisadi kugombea hela zisizo na impact kwa maendeleo ya nchi zaidi ya kuweka deni kwa taifa. Wenye kutegemea kupiga hela kama hizo ndio tangu awali walimchukia jpm kwa kutupilia mbali mchezo wa mabeberu kuzushia jumuia ya kimataofa tafrani ya ugonjwa 'pandemic' kwa kufaidisha upigaji wa hela za wanyonge duniani.
 
Ni nani aliyeshinda hiyo zabuni ya hiyo campaign?
Na sijui hiyo kandarasi ilitangazwa lini, yaani ni kufa kufaana kumbe kuna watu wanavuta kiulaini pesa ya wazungu, si ajabu utakuta hizo kandarsi wamepeana kwa kujuana.
 
Kwa ambaye ameelewa ufafanuzi namba moja kuhusu huduma za NHIF aniekeweshe na mimi.
 
Back
Top Bottom