yaan hyo uliemtaja n mmojawapo anaetaka kuipeleka nchi hii kuzmu na maden yatazd kuptahapoUkisikia kujimwambafai kifara ndio huku
Watu walisaign on behalf of the government for people's republic of Tanzania
Sasa tutaona. Nani mjanja
Tundu Lisu the greatest
Tatzo unaropoka bila kujuaYaani Serikali ya huyu jiwe imekuwa na sifa zote za kibinadamu sasa.. Maana serikali inaongopa, serikali ina roho mbaya, serikali ina husuda, serikali inatapeli, serikali inapora, serikali inaua, inafunga..
Na hizo ndege tatu zitakazokuja November haziji mpaka tzs 426 bilioni zilipwe wa SCB!
yaan hyo uliemtaja n mmojawapo anaetaka kuipeleka nchi hii kuzmu na maden yatazd kuptahapo
By the way unakosea kuniweka katka kundi la ccm af cpo kicham ndugu yanguAliwaonya hamkusikia mkamtandika malisasi
Tundu Lisu the greatest
By the way unakosea kuniweka katka kundi la ccm af cpo kicham ndugu yangu
na sio mshabik wa vyama ving
Yaan kuna watu wanacomment bila kuangalia sourc ya tatizo lenyew ndio wanajikuta wanaropoka tu unaeza sema wanatumia tumbo kufikiliHivi hili kosa ni la serikali ya awamu hii au iliyopita....mana naona comments zimekaa ki-chuki chuki au kuna wafanyakazi wa standard charted hapa?
Yaan kuna watu wanacomment bila kuangalia sourc ya tatizo lenyew ndio wanajikuta wanaropoka tu unaeza sema wanatumia tumbo kufikili
Kauli zako tata
😂😂😂
Yaan ucpowajua vzur hao wanasiasa utabaki kuteseka kila cku
leo magufur sasa ombea akae hyo lisu ushuhudie moto wakee
Tangu 1961serikali yetu inaongozwa na watu wale wale na kwa sera zile zile kinachobadirika ni majina ya watu , nyakati na aina ya viwanda na propagandaHivi hili kosa ni la serikali ya awamu hii au iliyopita....mana naona comments zimekaa ki-chuki chuki au kuna wafanyakazi wa standard charted hapa?
Labda aipitielo wali breach contract kwa serekale kushindwa kutimiza haki na wajibu wake. Hivyo basi serekale inalazimishwa itimize wajibu wake kwa kuilipa benk kwa kuwa mdai wao anadaiwa na benki.Hukumu inahusu breach of contract sasa alievunja mkataba ni nani
Tupo machoSerkali hawahusiki hapo ufafanuzi mzuri sana
Yalipe yale mafisadi yaliyojificha nyuma ya IPTL
Hahahaha, hii ni bonge la point, na wananchi wangewaelewa vzr mnoyaan ningekua mm ndio msemaji wa serikali hapa ndio ilikua fursa nzuri ya kuisafisha serikali!
ningeitisha press na kusema, yes hilo ni deni letu!! na ndio maana akina seth na Lugemalila wako jela kwa vile walikula hela za hawa watu mnawaona wanaibuka sahz! sasa msemaji anakuna kusema hatudaiwi?? kwanini mmewaweka ndani akina seth aka Singasinga na Lugemalila???
pumbavu kabisa huyu!!