Serikali yajibu Hoja za Kivuko cha MV Dar es Salaam na Uuzwaji wa Nyumba Zake

Waziri Mkuu ni msimamizi na mtoa Maelekezo ya kazi kwa Waziri wa Ujenzi

..Ndiyo.

..lakini Waziri wa Ujenzi ni mtekelezaji.

..mchakato mzima uchunguzwe, kiwango cha hasara kifahamike, na wahusika[watoa maagizo na watekelezaji] wote wawajibishwe.
 
Tunaomba Serikali kama ina uzalendo na nia ya dhati kupambana na ufujaji na ufisadi katika taifa hili basi wafanye uchunguzi wa namna nyumba za Serikali zilivyouzwa na waliouziwa wazirudishe.

Na mv dsm nayo ichunguzwe ununuzi wake na wahusika wachukuliwe hatua badala ya hii double std ya baadhi ya hujumu kushughulikiwa nyingine kuachwa, hizi ni kodi za wananchi zilitumika
Kinyesi cha ufipa hiki.
 
"Over my dead body"... JPM? CCM?

Hayo ya nyumba mbona ya zamani sana! Chato airport, bombardier etc?
 
Tunaomba Serikali kama ina uzalendo na nia ya dhati kupambana na ufujaji na ufisadi katika taifa hili basi wafanye uchunguzi wa namna nyumba za Serikali zilivyouzwa na waliouziwa wazirudishe.

Na mv dsm nayo ichunguzwe ununuzi wake na wahusika wachukuliwe hatua badala ya hii double std ya baadhi ya hujumu kushughulikiwa nyingine kuachwa, hizi ni kodi za wananchi zilitumika
Magufuli ndiye fisadi aliyehusika na yote mawili hayo.

Hivyo usitegemee kusikilizwa na serikalihii.
 
Hii ni sawa na kuwaambia ccm warudishe rasimu ya maoni ya watz ya warioba irudishwe ijadiliwe kamwe haitatokea.......
Wajishitaki na kujifunga wenyewe
 
Aliyeshika serikali ndiye aliyeuza hizo nyumba na kununua hicho kivuko. Atajichunguzaje?
 
Magufuli ndiye fisadi aliyehusika na yote mawili hayo.

Hivyo usitegemee kusikilizwa na serikalihii.

..ile Meli sasa hivi haijulikani ilipo.

..how could one spend billions of shillings and have nothing to show for it?

..meli iletwe toka huko ilikofichwa nina hakika Mh.Makonda kwa ubunifu wake anaweza kupata namna ya kuitumia.
 
Hahahhaha Huuuuiiii kesho naenda zangu kuhesabiwa, Ngoja nikae kimya
 
..ile Meli sasa hivi haijulikani ilipo.

..how could one spend billions of shillings and have nothing to show for it?

..meli iletwe toka huko ilikofichwa nina hakika Mh.Makonda kwa ubunifu wake anaweza kupata namna ya kuitumia.

Watu wanajua madudu haya na badowanam support Magufuli.

Hapo ndipo utajua kwa nini wahenga walisema ukipenda chongo utaita kengeza.

Na hata mapengo ya Dr. Shika kunamtu anasema "baby naupenda sana mwanya wako mzuri sana".
 
Kama huoni umuhimu kaa na mumeo mdi scuss kuongeza mtoto 2018
Mkuu unaamua kunitukana bila kosa? Ulielewa mantiki yangu?

Kwanini usiupe ustaarabu nafasi hata Kama hatuonani na hatujuani?

Dah! Haya mkuu Asante nashukuru sana.
 
Tunaomba Serikali kama ina uzalendo na nia ya dhati kupambana na ufujaji na ufisadi katika taifa hili basi wafanye uchunguzi wa namna nyumba za Serikali zilivyouzwa na waliouziwa wazirudishe.

Na mv dsm nayo ichunguzwe ununuzi wake na wahusika wachukuliwe hatua badala ya hii double std ya baadhi ya hujumu kushughulikiwa nyingine kuachwa, hizi ni kodi za wananchi zilitumika
Kwenye Dili la uuzaji wa nyumba za serikali Uzalendo hakuna kwa sababu ni Dili la magufuli na mkapa na Kivuko ni Dili la magufuli na kikwete hspo Uzalendo hakuna hilo ni Dili lao hakuna kuchunguza chochote, watachunguza zile Dili ambazo Mtukufu malaika toka chato pekee hakupata mgao,
 
Bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa lakini hadi leo hakuna uchaguzi Kwa sasa mhusika ni magufuli mwenyewe
 
Swala siyo speed ila swala ni thamani ya kivuko hicho, kimetengenezwa mwaka 1978 kimenunuliwa 8 billions lakini bakharesa kanunua kivuko kipya cha mwaka 2015 kwa ukubwa kama ule na cha kisasa kwa 9 billions
Aisee
 
Back
Top Bottom