Waziri Mkuu ni msimamizi na mtoa Maelekezo ya kazi kwa Waziri wa Ujenzi
..Ndiyo.
..lakini Waziri wa Ujenzi ni mtekelezaji.
..mchakato mzima uchunguzwe, kiwango cha hasara kifahamike, na wahusika[watoa maagizo na watekelezaji] wote wawajibishwe.
Waziri Mkuu ni msimamizi na mtoa Maelekezo ya kazi kwa Waziri wa Ujenzi
Kinyesi cha ufipa hiki.Tunaomba Serikali kama ina uzalendo na nia ya dhati kupambana na ufujaji na ufisadi katika taifa hili basi wafanye uchunguzi wa namna nyumba za Serikali zilivyouzwa na waliouziwa wazirudishe.
Na mv dsm nayo ichunguzwe ununuzi wake na wahusika wachukuliwe hatua badala ya hii double std ya baadhi ya hujumu kushughulikiwa nyingine kuachwa, hizi ni kodi za wananchi zilitumika
Magufuli ndiye fisadi aliyehusika na yote mawili hayo.Tunaomba Serikali kama ina uzalendo na nia ya dhati kupambana na ufujaji na ufisadi katika taifa hili basi wafanye uchunguzi wa namna nyumba za Serikali zilivyouzwa na waliouziwa wazirudishe.
Na mv dsm nayo ichunguzwe ununuzi wake na wahusika wachukuliwe hatua badala ya hii double std ya baadhi ya hujumu kushughulikiwa nyingine kuachwa, hizi ni kodi za wananchi zilitumika
Kama huoni umuhimu kaa na mumeo mdi scuss kuongeza mtoto 2018Mkuu huna topic ingine ya kudiskasi?
Magufuli ndiye fisadi aliyehusika na yote mawili hayo.
Hivyo usitegemee kusikilizwa na serikalihii.
..ile Meli sasa hivi haijulikani ilipo.
..how could one spend billions of shillings and have nothing to show for it?
..meli iletwe toka huko ilikofichwa nina hakika Mh.Makonda kwa ubunifu wake anaweza kupata namna ya kuitumia.
Mkuu unaamua kunitukana bila kosa? Ulielewa mantiki yangu?Kama huoni umuhimu kaa na mumeo mdi scuss kuongeza mtoto 2018
Kwenye Dili la uuzaji wa nyumba za serikali Uzalendo hakuna kwa sababu ni Dili la magufuli na mkapa na Kivuko ni Dili la magufuli na kikwete hspo Uzalendo hakuna hilo ni Dili lao hakuna kuchunguza chochote, watachunguza zile Dili ambazo Mtukufu malaika toka chato pekee hakupata mgao,Tunaomba Serikali kama ina uzalendo na nia ya dhati kupambana na ufujaji na ufisadi katika taifa hili basi wafanye uchunguzi wa namna nyumba za Serikali zilivyouzwa na waliouziwa wazirudishe.
Na mv dsm nayo ichunguzwe ununuzi wake na wahusika wachukuliwe hatua badala ya hii double std ya baadhi ya hujumu kushughulikiwa nyingine kuachwa, hizi ni kodi za wananchi zilitumika
Wakibinywa ndulele kidogo tu mayowe utafikiri wanang'olewa meno bila ganzi. Shubaaaaambiiitt.Kuna watu mnachokaga kula Ugali vumbi...chokochoko mchokonoe pweza
AiseeSwala siyo speed ila swala ni thamani ya kivuko hicho, kimetengenezwa mwaka 1978 kimenunuliwa 8 billions lakini bakharesa kanunua kivuko kipya cha mwaka 2015 kwa ukubwa kama ule na cha kisasa kwa 9 billions