Serikali yaitelekeza familia ya Nyerere

Serikali yaitelekeza familia ya Nyerere

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,704
Reaction score
9,079
Wakuu nimesikitishwa sana baada ya kuona hii kitu sitaki kusema mengi

attachment.php
 

Attachments

  • 1419877793422.jpg
    1419877793422.jpg
    33.7 KB · Views: 6,701
Kama walishaanza kumtelekeza Mwalimu mwenyewe, watakumbuka familia? Mafisadi kwenye kiti ni ushetani mtupu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
you can not fool all the people and all the time,,,, sio familia ya nyerere 7b naijua vizuri hiyo familia
 
JK hampendi Mwalimu Nyerere, iko wazi kabisa.
 
Anafanana na Andrew Nyerere
 
Sometime have a time to think but not to be ignorant oriented
 
kwa hiyo unataka tuwatunze milele? kwani hii nchi ya kifalme? katiba inamtaja raisi atahudumiwa mpka kufa, sio na watoto wake. Watunzane wenyewe kama, wamshauri mama yao apangishe nyumba msasani ahamie bush, watapata hela ya kula tu.
 
Serikali imeitelekeza kivipi? wimbo wa mwalimu Nyerere ulikuwa kila siku "msingi wa maendeleo ni kazi" .....sasa kama kuna mvivu hajishughulishi kodi yako ndo ikamvishe na kumlisha? au hujui serikali inatoa wapi pesa kama sio kodi yako na yangu. Mbona msiwapige picha Leticia Nyerere na Makongoro Nyerere.....mtoa mada sor to say think twice before u present your topics..
 
hapendi kabisa kumuita Baba wa Taifa,anaita Mzee!yani huyu jamaa Mwalimu angekuwepo asingeingia ikulu

Chuki ilianzia 1995 Mwalimu alipomwambia kuwa asubiri kwanza Urais hadi 2005, na km hiyo 2005 Nyerere angakuwa hai asingekubali JK awe Rais. Tunakukumbuka Mwalimu, taifa linaangamia huku.
 
Back
Top Bottom